mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maneno ya mchezaji İlkay Gundogan kuhusu kadi nyekundu ya mapema ya mchezaji mwenzake Araujo

    "This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began. "I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
  2. U

    Mchezaji kucheza mechi za ushindani siku mfululizo

    Naona kama hili linataka kupita bila kujadiliwa humu na wadau wa soka, sijajua kama limejadiliwa na wachambuzi wetu katika redio zetu za FM. Nasor Saadun alicheza mechi ya ushindani akiwa na Azam dhidi ya Yanga tarehe 2/11/2024, na game ilikuwa ngumu sana. Tarehe 3/11/2024, Nasor Saadun...
  3. Kwa tabia hizi alizoonesha Aziz Ki kweli yeye bado ni mchezaji Professional?

    Wakati mwingine nawaza kuwa OKW BOBAN SUNZU alikuwa sahihi kusema kiuhasibu Aziz Ki ni hasara Kwa Yanga na siyo faida. Lakini hapa chini naweka Clip mbili kuonesha kuwa Aziz Ki hana sifa za kuitwa mchezaji Profesheno. Kwenye hii Clip ya kwanza inaonekana Ki anaongea na kocha msaidizi wa...
  4. Kiukweli huyu mchezaji wa soka zamani Alphonce Modest anahitaji msaada

    Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga. Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika kwa kukaba kwa nguvu na akili, kupandisha timu kwa kutengeneza mashambuliaji na kupiga krosi...
  5. Nani alistahili kushinda Mchezaji Bora wa Kiume Ballon d'or 2024?

    Wakuu, Tuzo za Ballon d’Or 2024 zimejumuisha vipaji bora vya soka duniani, na tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume imeenda kwa Rodri (27) wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa Rodri, ambaye amekuwa na msimu wa kipekee, akichangia mafanikio makubwa kwa...
  6. Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga derby ya keshokutwa

    Namwona Dube katika ubora wake mpaka sasa Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika Derby ya keshokutwa All d best mwamba...
  7. Wengi hawamjui mchezaji huyu!!

    Gen Z naombeni majibu huyu ni mchazaji gani?
  8. Mchezaji anayeisababishia timu yake kupata penati ihesabike kama assist.

    Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame assist.Haina maana Mtu apambane asababishe penati tatu kwa mfano alafu zote zipigwe na mwingine,sifa zote...
  9. Mchezaji Deborah Fernandez Mavambo na Mchambuzi wa Michezo Wasafi FM Oscar Oscar hawana Undugu kweli kwa wanavyofanana?

    Jamaa wanafanana hadi balaa.
  10. Mchezaji Bora wa mechi

    Leo mchezaji Bora wa mechi Kati ya Simba na Dodoma jini ametangazwa kabla ya mpira kumalizika!! Binafsi naona kama wanaingia na jina mfukoni...utamtangazaje mchezaji kabla ya mpira kumalizika?! Vipi akishatangazwa hivyo halafu akatolewa Kwa Kadi nyekundu kwa makosa ya nidhamu....ataendelea kuwa...
  11. Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  12. Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

    Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
  13. Yaani ukifanya mchezo Yanga hata diara anakuweka...kila mchezaji mfungaji

    Yaaan huyu baba Gamondi sijui akikuwa wapi Yaan kilamchezaji anakuweka Ukisibiri aziza anakuja clementine Ukimkosa clementine shamaaa anakuweka Ukimbana shamaaa sengeli anakuweka Tunapoelekea tusishangae na Disrael akaa diara i akakuweka Yanga tamuu jamani
  14. D

    Huyu Boka ni mchezaji au Bodaboda?

    Jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. Defence yupo, forward yupo. Boka ana nguvu ana speed, hawa watu Yanga wanawatoa wapi?? Yanga mna uhakika huyu ni mchezaji sio bodaboda? 😂
  15. Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

    Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United. Chanzo: maulidkitenge Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga...
  16. L

    Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  17. Muonekano wa mchezaji wa Senegal Keita Baldé, baada ya kuacha kujichubua

    Muonekano wa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Keita Balde, baada ya kuacha kujichubua na kurudi kwenye rangi yake ya asili. Pia, soma: Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool kasimamishwa kucheza mpira kwa kiburi
  18. M

    Namuona Damas Ndumbaro jukwaani. Ila sijaona mchezaji mwenye uwezo binafsi kama Sanifu Lazaro Tingisha.

    Kimbiza , finya, mwaga jalo. Kwa ufupi hatuna timu na wachezaji kama miala ya ile.
  19. U

    Baba mzazi wa mchezaji Lamine Yamal yuko mahututi baada ya kuchomwa kisu

    Wadau hamjamboni nyote? Mounir Nasraoui anaripotiwa kuwa katika hali mbaya baada ya kushambuliwa katika mji ulioko kaskazini mwa Barcelona. Mounir Nasraoui, baba wa nyota kijana wa timu ya taifa ya Uhispania na Barcelona, Lamine Yamal, alidungwa kisu Jumatano usiku, kwa mujibu wa ripoti kadhaa...
  20. KMC wameshinda kesi dhidi ya Awesu aliyetambulishwa na Simba SC wiki chache zilizopita

    KMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita. Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…