mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Hizi ni gharama za kutoka na mchepuko

    GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO 1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ujinga wa mtu akiwa mpenzi, mchumba, mchepuko, mke au mume basi unakuwa na haki miliki ya uhai na uhuru wake ulianzia wapi?

    Huu Ujinga wa Mtu Akiwa Mpenzi, Mchumba, Mchepuko, Mke au Mume Basi Unakuwa na Haki Miliki ya Uhai na Uhuru Wake Ulianzia Wapi? Katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na mtazamo wa ajabu na potofu sana kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Mara nyingi, watu wanapoingia kwenye mahusiano, iwe ni ya uchumba...
  3. SankaraBoukaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  4. kadiri kasimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

    Habari za majukumu wakuu? Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae? Je ilikuwaje? Je ulisolve...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nilivyoagana na mchepuko wangu

    Ni miaka 5 iliyopita jijini dar,nilikuwa na mchepuko wangu ambae tuliishi kwenye mapenzi miaka 4.Nikaenda kumtembelea alinipokea vizuri sana na nilikaa kwake hapo mwezi mzima.Na tulijadiliana mambo mengi na tuliishi kwa raha sana na tulikuwa tunanyanduana sana sana kiasi ambacho shuka zilikuwa...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hata mchepuko ana ndoto ya kupata bwana aliyetulia na muelewa" Yani mwanadamu lazima ajivutie kwa upande wake hata kama yeye havutiki

    Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo. Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
  7. Sheffer95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu aliyeolewa kanipigia simu

    Kwanza ngoja kwanza nicheke, Ujue haijapita hata wiki maana kaolewa jmosi iliyo pita Mambo ni hivi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
  8. Sheffer95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka. Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa. Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda". Wife...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mchepuko kisa baby mama, baby mama naye kaniacha. Hali tete wakuu, hata msosi haupandi

    Wakuu napitia wakat mgumu sana,hapa nimejifungia ndani mawazo lukuki Mwez uliopita mchepuko niliodumu nao kwa karibu miez6 umeniacha sabab ya mimi kuendelea na mahusiano na baby mama wangu,naupenda sana mchepuko. Sio kesi nikarudisha majeshi kwa baby mama, Sasa baby mama sabab ya changamoto...
  10. Kant Ombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mchepuko ambae anapenda ngono yani very sensitive with high libibo

    Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema. Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unachokitamani kwa mchepuko wako ndicho jirani yako anakiwaza kwa mke/mpenzi wako and the circle continues

    Ku-prove kuwa mapenzi ni mchakato wa mihemuko ya hisia zenye kihelehele ambazo hufariji matamanio yako pale unapopata au kuona experience mpya au ambayo haujaizoea.
  12. The redemeer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke fahamu mambo haya kabla hujawa mchepuko wa mume wa mtu

    Ukubali ukatae huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli, 1) Ukiwa umetoka kula bata na mume wa mtu, Wewe utaenda nyumbani kwenu lakini yeye atarudi nyumbani ambapo anaishi na familia yake. 2) Kumbuka kua mkimaliza ku sex nae hutupa condom ambazo mlitumia mbali zaidi, Ili mke wake...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

    Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa --- Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume...
  14. PSL god

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakikisha mchepuko wako ana matako makubwa utanishukuru baadae

    Jumanne njema watafutaji wenzangu, Baada ya kusaka nyau ya big booty kwa wiki 3 mfululizo hatimae nikaangukia kwa dodo lenye msambwanda wake basi baada ya kukusanya stress za wiki nzima jumapili ya juzi nikaamua kuliomba gemu basi halikukataa wala nini. Of course tulisasambuana vya kutosha...
  15. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
  16. Fazz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Salaam wakuu Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa. Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi. Nilikutana na huyu binti...
  17. Brojust

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapojijua wewe ni mchepuko, tulia kwa nafasi yako. Kiherehere cha kutaka kurasimisha ili iweje sasa?

    Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
  19. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikifanya mapenzi na huyu mchepuko napata sana wateja siku hiyo

    NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO. Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije ukajidanganya mchepuko ni bora kuliko mkewe. Thamani ya mke ni kubwa kuliko wewe

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana. Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza...
Back
Top Bottom