mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unapojijua wewe ni mchepuko, tulia kwa nafasi yako. Kiherehere cha kutaka kurasimisha ili iweje sasa?

    Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nikifanya mapenzi na huyu mchepuko napata sana wateja siku hiyo

    NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO. Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usije ukajidanganya mchepuko ni bora kuliko mkewe. Thamani ya mke ni kubwa kuliko wewe

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana. Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Raha ya mchepuko úwe pisikali au úwe na Pesa hata Mkeo atakuelewa

    Kwema Wakuu! Najua Wanaume wengi suala la kuwa na Mwanamke mmoja NI kipengele. Hiyo siô tatizo. Raha ya mchepuko úwe pisikali iliyonyooka, yàani Mtoto matata, kiuno thelasini, hipsi thelasini na Saba, kifua thelasini na tatu. Mtoto laini kama nyama ya ulimi. Dadeki! Yàani ukimtazama hivi...
  5. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nauachaje huu mchepuko?

    Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti. Hapa ofisini kuna dada nimeanza naye mahusiano ni mwaka 4 sasa, ni kama nimehamia kwake nilipokuwa nimepanga mimi naweza kukaa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

    MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko. Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu. Wewe sio mzuri mpaka úwe Mke...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao

    Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao
  8. F

    JamiiForums Tanzania Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
  9. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umeenda lodge na mchepuko wako ghafla ukakutana na mwanandoa mwenzako nae pia ana mtu wake. Je utachukua hatua gani?

    Karibu wakuu, both ME na KE.
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuona matunda ya kuwekeza kwa mchepuko

    Wakuu habari? Mnavyojua wakuu, wanaume tumeumbwa kutamani na kupenda watoto wazuri waliopo hapa duniani. Katika pita pita zangu, nikanasa na mlimbwende mmoja ambaye aliweza kuuteka moyo wangu, mpaka nikiwa natembea mwenyewe mapigo ya moyo yanakuwa yako juu. Kutokana na uzuri alionao, nikaona...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Pale Mke anakuwa mchepuko wa mume

    Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko? Mawazo yenu ni muhimu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kama umeamua kuwa mchepuko basi zingatia yafuatayo

    .
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kumtuliza mke mchepuko inahitajika

    Najua wengi mnapambana na hii roho huoo kwenu Kuna mdada khangu yaan kalijitunza kakaolewa Kakazaa sasa kakachika kanagawa hatare mbaya kalishachika kakarudi hme wazazi wakiwemo Kakabadili dini kakavutwa na kakazetu wenye ruksa wa4 Majuzi amerudishwa na mamboyetu talaka Nahisi anapoelekea...
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  16. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mchepuko: "Bibi yangu aliwahi kuniambia mwanaume hashibi mwanamke mmoja"

    Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo huufanya kama ufalme wake. Bibi yake akamuambia kwenye maisha kuna maneno ya kuambiwa na kuna asili ya...
  17. Ketoka

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaachika kutoka kwa mume wake kisa mchepuko halafu anaenda kuambukizwa HIV kitaalamu tunaitaje?

    Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana...
  18. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

    Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na...
  19. CHURADUME

    JamiiForums Tanzania Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri. Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood. Maana nilikuta picha kama kumi za dada...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

    Ni hivi penzi bado jipya kabisa. Na kitoto cha elfu 2. Kimeomba godoro. Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii. Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa. Kava tayari lilisha toka...
Back
Top Bottom