mchele

Samuel Mchele Chitalilo (born June 15, 1965) is a former Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho. Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wanakataa Mchele lakini wanakubali Kondomu, Chanjo na Dawa za Mmarekani

    Hili nalo ni moja ya Ajabu la Dunia kutoka Tanzania.
  3. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji. Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima. Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani. Chini ya...
  5. JamiiForums Tanzania Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  6. JamiiForums Tanzania India yaruhusu kuuza tani 30,000 za mchele Tanzania

    Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau. India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ninataka kufanya biashara ya kununua mchele Morogoro

    Ningependa kuanza biasahra ya kuuza zao la mchele. Source ambayo nimependa kuanzia ni Morogoro. Ningependa kuoata ABCs za wapi pa kuanzia kutoja kwa wale wazoefu. Natanguliza shukrani!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  9. JamiiForums Tanzania Museveni asema alikataa ombi la kupiga marufuku mchele wa Tanzania. Adai wakulima wavivu walitaka kutawala soko

    Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo. Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
  10. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Boko Haram wachinja wakulima wa mchele

    Suspected Boko Haram terrorists, on Sunday, attacked Zabarmari farmers while working on their rice fields in Mafa local government area of Borno State, killing over 15. Awali Casa, a rice farmer, who confirmed the attack on Monday to LEADERSHIP in Maiduguri, said there was palpable fear among...
  11. JamiiForums Tanzania AFL: Pumba zote zimeshajitenga na mchele

    Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea. Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli...
  12. JamiiForums Tanzania Mchele wa kyela

    Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali??? Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa kyela na mbalali
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya maharage na mchele Kyela na Mbeya

    Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023 Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
  14. JamiiForums Tanzania Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

    Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana. Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili...
  15. JamiiForums Tanzania Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Habari wakuu, naombeni ushauri, mawazo na msaada wa kupata soko kwenye biashara ya mchele. Natoa mchele wilaya mpya ya songwe, mchele ni mzuri sana. Aliye na uhitaji nao tufanye biashara wakuu tuinuane. Ahsanteni na Karibuni.
  17. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakulima wa mpunga bonde la Kilombero wanufaika na bei ya mchele

    Wakulima wa mpunga bonde la kilombero wanufaika na kupanda kwa Bei ya mchele ambapo kwa Sasa Bei ya mchele imefika elfu 1800 Hadi elfu 2000 kwa kilo Hata hivyo wakulima wamesema kuwa wanafurahi Sana kupanda kwa Bei ya mchele kwani Bei ya Sasa inautofauti na Bei ya mwanzo kwani mwanzo...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele na maharage ;

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage ,mchele n.k dukani kwangu Uaminifu 100% , Njoo DM Namba yangu 0788768480 Piga au tuma meseji. Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa flakes /chenga au mchele wa plastic

    Habari wadau !! Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala la kuuza hizi flakes nina tani 10 za flakes nimeenda tazata pale wameniambia kwa sasa hwanunui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…