mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Sekta ya Betting kwa Mapato ya Serikali ya Tanzania na Changamoto Wanazopitia Wateja

    Sekta ya michezo ya kubashiri (betting) imekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa serikali ya Tanzania. Kupitia kodi na leseni zinazolipwa na makampuni ya betting, serikali inapata fedha zinazochangia bajeti ya taifa. Kwa mfano, kodi kutoka sekta hii imesaidia kufadhili miradi mbalimbali ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika umekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo barani Afrika

    Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 25 kwa mwaka, na kupungua kiasi kutokana na changamoto za janga la...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba Mchango wenu wa mawazo kwenye hili jambo

    Za saizi wakuu! Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m. Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA haina heshima kwa viongozi wake, inataka kumwondoa Mbowe kihuni bila kujali mchango wake, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa

    Chama cha Chadema hakina heshima kwa viongozi wake, kinataka kumwondoa Mh Mbowe kihuni bila kujali mchango wake mkubwa ndani ya Chama hiki, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa Mh Mbowe amejenga Chama kwa gharama kubwa ya fedha na Wanachama kwa zaidi ya miaka 30 historia hii ni kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mchango wa Yeriko ndani ya chadema ni upi?

    Ninataka kujua mchango wa Chawa Yeriko Nyerere chadema Zaidi ya kukitumia chama kuuza vitabu fake ana mchango gani kwa chama?
  6. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zapewa heshima kwa mafanikio na mchango katika kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
  7. JamiiForums Tanzania Tumpe Maua yake Rais Samia, Dunia inatambua mchango wake

    https://youtu.be/Qoag3vwDQrk Msanii wa UGANDA Jose Chameleon aliimba wimbo unaosema tusisubiri kutoa sifa kwa watu ,wakishaenda, tuwape sifa zao wakiwepo,na ikipendeza wakiwa madarakani ..watanzania tumpe maua yake Rais Samia Wakati tuelekea mwishoni mwa mwaka 2024 ,ni wakati wa watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Nashangaa mpaka leo CCM hawaonyeshi kutambua mchango wa Captain John Komba

    Siwapendi CCM ila juna wakati nikisikiliza nyimbo za Caotain Komba huwa nabaki natabasamu,maneno kama mtaisoma namba,CCM ni ile ile,yanakera na kufurahisha kwa wakati mmoja. CCM wanapiga tu nyimbo zake sijui kama familia yake Inafaidika na hizo nyimbo. Kama hamuwezi kumlipa mjengeeni mnara basi...
  9. JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  10. JamiiForums Tanzania Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

    Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki. Unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Lengo la maendeleo la G20 laonyesha umuhimu wa mchango wa Dunia ya Kusini

    Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa kuzipatia nchi zote zilizo nyuma kimaendeleo zenye uhusiano wa kibalozu na China huduma ya kuondoa...
  12. JamiiForums Tanzania Maombi ya Wazazi wako hayana mchango wowote katika mafanikio yako. Matendo yao Mema ndio sadaka kwa mafanikio yako

    MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama Yesu. Hata wafunge Ramadhan na Shaban. Hata wagaregare na Kuvaa magunia. Ni Kazi bure tuu. Maombi...
  13. JamiiForums Tanzania Mchango wa harusi sio deni. Usipange bajeti zako kwenye mifuko ya wenzako

    Habari waungwana wa humu. Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu.. Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi. Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) Mchango Wake Katika Uasisi wa TANU na Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/WdiQykUgOys?si=fcaPooTUouxWutKI
  16. JamiiForums Tanzania Lugha na mchango kwenye ufikiri

    Lugha ni nyezo ya mawasiliano ambayo imekuwa na msaada mkubwa kwenye maisha ya binadamu kwenye maendeleo yake katika kila nyanja iwe ni kiuchumi, kisiasa kisaioilojia kisayansi, binadamu katumia lugha kusambaza elimu na maarifa na mengine mengi ila unajua kuwa lugha inamchango mkubwa kwenye...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mchango wa Balozi Hamphrey Polepole kwa Taifa kama alivyotuaminisha hapo Mwanzo

    Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana. Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora. Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Top 3 GOAT Tanzania Rappers, Serikali itambue mchango wao ikibidi watunukiwe Phd

    Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha katika matukio muhimu ya sanaa badala kuwashirikisha watumbuizaji peke yao ambao hawana mchango wowote...
  19. JamiiForums Tanzania Idea ni nyingi za biashara,jf ina mchango pia kutupa akili kwa mfano tazama idea yangu uipe marks

    Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee.. Nazi Mayai Maziwa Karanga Maji Maharage meupe Viazi Ndizi Pop corn Mahindi Mkate Unga Vitunguu swaumu Pia naweza kuweka t shirt nyeupe Raba...
  20. JamiiForums Tanzania Jenga tabia ya kutambua mchango na juhudi za unaowaongoza au kuwasimamia

    KIpindi fulani niliwahi kufanya kazi na wahindi ikiwa ndio ajira yangu ya mwanzo kabisa baada ya kumaliza kidato cha sita,nikiwa nasubiri matokeo nikapata hiyo kazi katika kampuni ya ujezi Hawa jamaa kwa kawaida huwa hawana kawaida ya kukupongeza hata ufanye kazi vizur kiasi gani,wao ni lawama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…