Mjadala mzito umeibuka mtandaoni kufuatia Mwekezaji na Rais wa heshima Klabu ya Simba Mo Dewji kukomenti kwenye Moja ya Post katika Ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, akiandika "Transformation mmefikia wapi?“, akionesha kuuliza ulipofikia mchakato wa mabadiliko.
Wadau wengi wa michezo...
09 February 2026
UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza
Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na uwakilishi wa Benki ya NMB na kujadili namna wanavyoweza kufanya maboresho katika mchakato wa kutoa fedha za mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi kupitia taasisi hiyo ya...
Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie
Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza
Mtendaji kaweka mihuri yake pale kanipatia fomu kaniambia nirudi jumatatu
Sasa naomba kuuliza kwenu wazoefu...
Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia.
Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
Anonymous (6198)
Thread
gesi
lake oil
mabasi
mabasi ya mwendokasi
mchakato
mwendokasi
oil
tenda
vipi
https://www.youtube.com/watch?v=Vb7IeyvxrtE
Mzee wetu Mohamed Said ameeleza historia ya chimbuko la BAKWATA. Amesimulia kwa kina mchakato wa kuivunja East African Muslim Society na kuanzisha BAKWATA chini ya Mwl Nyerere. Amesema ndicho chanzo cha chuki ya Nyerere dhidi ya Bibi Titi.
Ameenda...
Mchakato wa kuchukua fomu za kuwania Umeya na Unaibu Meya wa Manispaa ya Morogoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) umeanza rasmi leo, ambapo wanachama mbalimbali wakiwamo viongozi wa kada na watumishi wa umma wamejitokeza kuchukua fomu.
Miongoni mwa waliojitokeza ni Mwandishi wa habari Latifa...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria.
Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
Naona aibu
Naona haya
Naona soni
Naona taabu
Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji
Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama...
Kuanzia mwaka 2010 vuguvugu la katiba mpya liliongezeka maradufu kabla sijaendelea ngoja niongelee jambo flani
Mungu kama kuna Jambo baya linakuja mbeleni kuna namna utapewa taarifa ufanye jambo mara nyingi inakuwa anaondoa amani hasa pale unapofikiria jambo flani ukignore madhara utakuja...
Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon.
Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon...
Mimi ni miongoni mwa watu wa maono.
Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani.
Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha.
Kila kitu kina wakati wake.
Watanzania wamechoka na huu sasa ni wakati wake.
Wala ishu sio Samaia,Bali...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena.
Wasira ameyasema hayo Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na...
Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato .
Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi.
Swali la kujiuliza hizi Pesa...
Mko wapi?
Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms
Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.