Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.
Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.
2020 hakuna mchagga atakula Krismas...
Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea.
Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la...
Mtoto Bahati S/o CORNEL, Mchaga, 8 yrs old, M/Funzi Umbwe primary school, Darasa la tano.
Mtoto huyu yupo hapa police Kawe ambapo alijieleza kuwa amepotea, alikuja jijini DSM akitokea mkoani Kilimanjaro ambako ndiko anakoishi na Baba yake Mzazi aitwae CORNEL JOSEPH MASAWE, ambae anafanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.