mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dada aliyelalamika mtandaoni kuwa wanaume ni mbwa kumbe alifanywa kitu mbaya

    Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma... Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na pesa za binti,binti akajikuta hana hata nauli na simu imekwenda. Yaani unamtelekeza mtu na hela na...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka minne akutwa amefariki baada ya kukatwa mkono na sehemu za siri

    Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika. Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi unakuta Jogoo wako kampanda mbwa utarajie nini

    Hawa wanyama mkiacha wajichanganye unaweza kukuta kambale kazaa na mbuzi. nimekuta kwenye mitandao jogoo kampanda mbwa.
  4. JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa mbwa mwitu

    Mbwa mwitu ni mnyama mwenye sifa za kipekee ambazo wanadamu wengi wasasa hawana: Kwanza: Ni mwema kwa wazazi wake. Pili: Halali na familia yake kimapenzi, yani; Mama, dada n.k. Tatu: Hupenda kuwa huru, na hufikia mpaka kujiua unapomfungia ndani na kumnyima uhuru wake. Na daima huishi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wazungu wanavyothamini Mbwa kuliko binadamu wenzao, chanzo ni nini hasa

    Jinsi wazungu wanavyowajali Mbwa wanaowamiliki, wakati mwingine ni zaidi wanavyojali binadamu wenzao. Mtu anaweza asiwe anaishi na binadamu mwenzie, lakini anaishi na Mbwa ambaye bajeti yake ya kumtunza inazidi gharama za kuhudumia binadamu maskini walioko mtaani. Huwa najiuliza chanzo cha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yani ki mbwa milioni mbili

    Si Bora tu nikabweka mwenyewe 🤣😆😝 usiku nikiwa natoka nje
  7. JamiiForums Tanzania Hata mbwa anamjali anayemjali

    Ni kisa cha kushangaza sana. Nimeikuta mtandao wa Quora. Baada ya mazishi ya mwanaume mmoja, mbwa wake alitoweka ghafla na kwenda kusikojulikana. Siku mbili baadaye alikutwa akiwa amelala kwenye shimo alilolichumba juu ya kaburi la marehemu. Kijana wa marehemu alimchukua na kumrejesha nyumbani...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una mbwa mdogo na upo Tarime tuwasiliane

    Bajeti yangu ni tsh 20,000 nahitaji kadume. Atleast kawe na asili ya mchanganyiko kasiwe pure mbwa koko. check me.
  9. JamiiForums Tanzania Jamani nisaidie mbwa wadogo wanakufa sana hapa kwangu

    Nina mbwa mkubwa. Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa. Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu akija kuwapa dawa huwa wanakufa moja kwa moja. Chakula wanakula makombwe ya nyumbani kwangu na...
  10. JamiiForums Tanzania Wamilki wa Mbwa, hivi hua mnawaza nini unaona mtu anakaribia kung'atwa na unamuambia asijali?

    Hawa watu hua najiulizaga, akili zao wote zinafanana, Mazoea yao na mbwa wao wanachukulia kila yule anayo.. Mtu dude unaona kabisa linakuja kwa kasi, unajichekesha tu "hahahaaaa usijali hang'ati" unamsemea mbwa? Hakuna mbwa anayekuja kwa Mgeni(anaamini ni adui) kwa kukukimbilia na kubweka asiwe...
  11. JamiiForums Tanzania Mbwa ana akili kuzidi punda au punda wa Tanzania ana huruma kuzidi mbwa?

    Punda wa Tanzania bado hajampata mtetezi. Ukikutana na punda wa Kanda ya Ziwa, ni kawaida kuona michubuko migongoni na shingoni. Michubuko hiyo imetokana na ama vipigo, au kubebeshwa mizigo mizito iumizayo au vyote kwa pamoja. Asipokuwa na hizo alama, ujue huyo punda anamilikiwa na msomi...
  12. JamiiForums Tanzania Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata kutembea kwa shida sasa na iyo ngozi ndo kabisa.
  14. JamiiForums Tanzania Kila mtu anataka atambulike kuwa ni "somebody"

    Wanasema, mpe mbwa mzee jina zuri! Anaweza asiwe na uwezo wa kuwinda, lakini kutokana na kupewa jina zuri, atajitahudi kuliishi hilo jina. Mwaka Jana, nikiwa mkoa fulani, nilitaka kumpa mzee mmoja kikazi fulani sehemu nilikokuwa nikifanyia shughuli zangu. Kusudio langu halikufanikiwa kwa sababu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ili kuepuka kipigo cha mbwa koko tarehe 20/4, naomba Simba ianze na kikosi hiki

    Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani. Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani. Wachezaji wengi hawana sifa ya kucheza simba ila kwa kuwa ndio waliopo inabidi kwenda nao hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani. Kanuni •Fungu la kumi 10% •Akiba 30% •Matumizi 40% •Dharura 10% •Msaada 5% •Sadaka 5 Jumla 100% Hii kanuni inafanya kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Nipo mwanza mjini natafuta mbwa Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu. Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi Tabia: Mkali sana Bei: Isizidi elf 20
  18. JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali yetu itunge sheria kali ya kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k

    Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga. Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢 Ukiachana na...
  19. JamiiForums Tanzania Mbwa anauzwa 300k

    sina uzoefu sana na jamii za mbwa, kwa mwenye uhitaji basi aje Pm , kwa details zaidi
  20. JamiiForums Tanzania Both Team To Score! Mbwa kala Jibwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…