mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Polisi kutumika dhidi ya CHADEMA limetuvunjia heshima Watanzania

    Nimesikitishwa na kitendo cha Polisi kutumia mbwa dhidi ya Chadema. Kwa sisi wenye umri mkubwa kidogo tunakumbuka picha za Polisi wa makaburu wa Afrika Kusini.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kuwajibu Askofu Gwajima na Polepole ni kama kubwekea kila mbwa barabarani

    Friends and Enemies, Kuna msemo unasema kwamba kumrushia jiwe kila mbwa anayebweka barabaran huwezi kufika safari yako, Vipo vitu vya msingi vya kulumbana na Serikali,kama hivi ongezeko la gharama za tozo za miamala, kupanda mafuta na gesi,labda Tume Huru ya Uchaguzi na kadhalika. Lakini kukaa...
  3. JamiiForums Tanzania Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

    Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
  4. JamiiForums Tanzania Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa

    Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbwa mwitu waliovaa sura ya Kondoo wametunyonya kama kupe

    Mwanzo, hatukuwatambua tulijua ni washirika wenzetu wazuri tunaosafiri kwenye safina moja kuelekea nchi ya maziwa na asali, Kaanani yetu. Kwa jinsi walivyokuwa wanasifu na kuabudu pamoja na kupanda kwenye madhabahu mbalimbali kutoa mahubiri ya kutujaza imani, kweli tulijua ni kondoo wazuri...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Gilles Muroto Astaafu, karibu uraiani upambane

    Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy. Nakukumbusha pia kwamba maisha mapya...
  8. JamiiForums Tanzania Tabia hii ni ya mbwa au kuna viumbe wengine wanayo?

    Wakuu uzi huu nimewaletea kwa kuwa na uhakika jibu nitalipata kwenye hadhra hii ya JF kwa vile yenyewe ni JUMUISHO la FIKRA(JF). Bila kupoteza mda suali langu ni hivi 1)badala ya mbwa kuna viumbe wengine wanaochelewa kutoa shahawa wakati wa kuingiliana? 2) Kitu gani kinachosababisha mbwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbwa kutumia kuwatambua wenye mambukizi ya corona Rwanda

    Rwanda na Ujerumani wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika mradi wa kutumia mbwa kuwatambua walioambukia virusi vya Corona. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Balozi wa Rwanda nchini Ujerumani Dkt. Thomas Kurz na Mkuu wa kituo cha kitaifa cha utambuzi wa utambulisha wa watu (RBC) Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…