Tabia hii ni ya mbwa au kuna viumbe wengine wanayo?

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
774
1,000
Wakuu uzi huu nimewaletea kwa kuwa na uhakika jibu nitalipata kwenye hadhra hii ya JF kwa vile yenyewe ni JUMUISHO la FIKRA(JF).

Bila kupoteza mda suali langu ni hivi 1)badala ya mbwa kuna viumbe wengine wanaochelewa kutoa shahawa wakati wa kuingiliana?

2) Kitu gani kinachosababisha mbwa wakifanya mapenzi wanasiane?
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,509
2,000
Mbwa wakati wa kupamp ile likiingia kadri linavyo pump dushe mwisho kabisa linatengeneza kitu kama uvimbe ambao sasa ule uvimbe wakati nao unamalizikia kuingia kwa jike utaona jike nalo linalalamika na kulia(wakati mwingine hapa jike kama hana nguvu anaanguka kabisa chini)hapo baada ya kuingia dume hugeuka na kuwekeana matako sasa hapo ule mnyooko wa uume wa dume ndio ndio mbegu sasa zinatoka kuingia kwa jike kadri zinatoka ule uvimbe wa dume unazidi kupungua hivyo hivyo hadi mbegu zikiisha na uvimbe ule unakwisha kabisa hapo utaona jike nae anajivuta kitu kinachomoka.
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,144
2,000
Ukianza kudharau asili yako unadhani mtu asiye wa asili yako ataiheshimisha?

Waafrika tunathamini sana privacy Kwenye kujamiiana kuliko hao watu wa jamii zingine ila elimu haina mwisho.

Mtu kauliza anataka kufahamu aelimishwe sio adhihakiwe kwa mada yake.
Pengine sijaeleweka na imeonekana kama namdhihaki mleta uzi. Hapana. Nilikua najaribu kumuelewesha niliye m quote kwamb hizi mambo ni zakawaida na ziko kwenye fikra za watu asubuhi, mchana na jioni japo hawaongelei hadharani baada ya yeye kua ameshangaa mada husika kuletwa muda huu

Nakubaliana nawe kua waafrika weusi tuna staha na faragha kwenye mambo haya ingawa ndio tunaongoza katika kuwaza na kufanya ngono. Jamii zetu ndio zinasifika kwa multiple relationships kwenye mapenzi. Sio ajabu kukuta kijana wa kiume wa 35-40yrs amesha date au kufanya ngono na wanawake hata mia moja!

Anyways, tumetoka kidogo nje ya mada. Tujikite sasa kumpatia majibu ya suala lake mleta uzi
 
chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
774
1,000
Mbwa wakati wa kupamp ile dushe likiingia kadri linavyo pump dushe mwisho kabisa linatengeneza kitu kama uvimbe ambao sasa ule uvimbe wakati nao unamalizikia kuingia kwa jike utaonabjike nalo linalalamika na kulia(wakati mwingine hapa jike kama hana nguvu anaanguka kabisa chini)hapo baada ya kuingia dume hugeuka na kuwekeana matako sasa hapo ule mnyooko wa uume wa dume ndio ndio mbegu sasa zinatoka kuingia kwa jike kadri zinatoka ule uvimbe wa dume unazidi kupungua hivyo hivyo hadi mbegu zikiisha na uvimbe ule unakwisha kabisa hapo utaona jike nae anajivuta kitu kinachomoka.
Mkuu nashkuru kwa msada wako kwa kujibu kisayansi, kweli nimeridhika na ubarikiwe! 2- je kuna viumbe wengine wenye tabia hiyo kama hiyo?
3- huwa inatokeaga kuzuka uvumi, eti kuna binadamu wamenasiana wakifanya mapenzi kama nikweli, je style inayotokea ndio hiyo ya dude la dume la mbwa?
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,509
2,000
Mkuu nashkuru kwa msada wako kwa kujibu kisayansi, kweli nimeridhika na ubarikiwe! 2- je kuna viumbe wengine wenye tabia hiyo kama hiyo?
3- huwa inatokeaga kuzuka uvumi, eti kuna binadamu wamenasiana wakifanya mapenzi kama nikweli, je style inayotokea ndio hiyo ya dude la dume la mbwa?
Hapana kwa binadamu kutokea hivyo ni sayansi ya ulimwengu wa tego yaani kati ya mwanaume au mwanamke (wenye ndoa au maagano kulingana na uhusiano wao)ndio sayansi ya kinga hutumika hapo mmoja kati ya hai akifanya ndo mnaso.katika viumbe hakuna wanaonasiana kwa maumbile kama mbwa na inategemea na viumbe kama nyoka,kenge mamba,mijusi, wao wanasokoteana matoka yanakutana mzigo unapigwa fresh .
 
Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
697

Hujambo mdau,hapo ulipoandika "hakuna viumbe wanaonasiana" panahitaji masahihisho,labda unamaanisha viumbe kama mammals na reptilians,lakini upande wa wadudu wapo wanaonasiana,huwa nawaona wanavutana kama gari lenye tela lake.
 
Mkuu nashkuru kwa kuniweka sawa, ila nna maana ya wanyama sio wadudu
 
chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
774
1,000
Hapana kwa binadamu kutokea hivyo ni sayansi ya ulimwengu wa tego yaani kati ya mwanaume au mwanamke (wenye ndoa au maagano kulingana na uhusiano wao)ndio sayansi ya kinga hutumika hapo mmoja kati ya hai akifanya ndo mnaso.katika viumbe hakuna wanaonasiana kwa maumbile kama mbwa na inategemea na viumbe kama nyoka,kenge mamba,mijusi, wao wanasokoteana matoka yanakutana mzigo unapigwa fresh .
Mkuu shukran! Kwa kunitoa utandu kwenye ubongo, hii nielimu kubwa, bila shaka umewafaidisha baadhi ya wana jf wasiokua wakijua kama mimi.
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,509
2,000
Hujambo mdau,hapo ulipoandika "hakuna viumbe wanaonasiana" panahitaji masahihisho,labda unamaanisha viumbe kama mammals na reptilians,lakini upande wa wadudu wapo wanaonasiana,huwa nawaona wanavutana kama gari lenye tela lake.
Asnte kwa masahihisho ni kweli hujakosea
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,509
2,000
Kwanza tuanze kutafautisha mkundu na tako, tako ni kiugo cha mwili kinachoficha mukundu (tundu) la haja kubwa la binadamu au kondoo
Sory hivi unajuaa mkundu ni nini.
Samahani kwa neno linatia ukakasi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom