mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Asema Tumbaku Bora Huanzia Shambani

    MBUNGE CHEREHANI ASEMA TUMBAKU BORA HUANZIA SHAMBANI Wakulima wa zao la Tumbaku hapa Nchini wameaswa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha zao hilo ili kuzalisha kwa tija na kupata soko la uhakika kutokana na kuendelea kuimarika kwa bei katika masoko. Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la...
  2. JamiiForums Tanzania Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Butondo Ashauri Pembejeo za Kilimo cha Pamba Kutolewa Mapema

    MBUNGE BUTONDO ASHAURI PEMBEJEO ZA KILIMO CHA PAMBA KUTOLEWA MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Mhe. Boniphace Butondo ameishauri Serikali kusambaza pembejeo za kilimo cha zao la Pamba kwa wakati ili wakulima waanze maandalizi mapema hali itakayoongeza tija katika uzalishaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  5. JamiiForums Tanzania Wana-JA niokoeni nitoke mnipe connection.

    Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana jukwaa hili lina nguvu sana kama mdogo wenu, kijana mwenzenu na kijana wenu nipo hapa kama tittle...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Edwin Swalle Asema Utekelezaji wa Bajeti ya Kilimo Utakuwa Faraja kwa Wakulima

    MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa tiba na faraja kwa wakulima ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Ulenge Aitaka Serikali Kukiwezesha Kituo Atamizi cha Mkonge Tanga

    MBUNGE MWANAISHA ULENGE AITAKA SERIKALI KUKIWEZESHA KITUO ATAMIZI CHA MKONGE TANGA Mbunge wa Viti Maalum, Mhandisi Mwanaisha Ulenge amesisitiza umuhimu wa Serikali kuhakikisha fedha zilizotengwa kufanikisha mradi wa kituo atamizi cha uzalishaji wa bidhaa za mkonge kinachowahusisha vijana...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani ataka Ushetu iache watoto wapate Shahada ndipo waozeshwe

    Mbunge wa jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amewataka wazazi na walezi katika halmashauri hiyo kuwasaidia watoto kuhitimu elimu ya juu ili kuwatengenezea fursa bora ya maisha ya baadae badala ya kuwaozesha wakiwa bado wadogo. Cherehani ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kwanini wenye diploma hawaajiriwi kuwa watendaji wa vijiji

    Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akiuliza swali leo Mei 22,2025 bungeni Dodoma Mbunge huyo amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akijibu,Naibu...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara

    Wakuu, Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao. ==== Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, amewataka wananchi wa Buchosa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Ondoeni Tozo ya Mionzi kwa Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani inawaumiza sana wanunuzi ambayo inasababisha wakulima kupunguziwa bei ya kuuza zao hilo. Pia...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 mkutano wa CHAUMMA: Tulimpambania Lema akawa mbunge miaka 10, leo anasema CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge

    Wakuu Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi. Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi. Watu wa aina hii ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Lucy Sabu Aibana Serikali Kuhusu Kukamilika kwa Akademia ya Michezo Malya

    Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Mfumo wa Artist Information Management System (AMIS) ambao umeunganishwa na TAUSI kutoka TAMISEMI umerahisisha usajili wa wasanii ambapo kati ya Julai 2024 hadi Aprili 2025 wasanii binafsi 844, vikundi 158...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida Gallos na Ujenzi wa Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Magharibi na Wilaya (Dimani na Mfenesini)

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mbunge amekabidhi fedha kwa ajili ya...
  16. JamiiForums Tanzania Daraja la mbunge gambo ni milioni 21.

    Aisee tukisema wazungu wanatuona nyani tukubari sio kupanic. Jf kama ili swala litaki kuzungumziwa sababu ni CCm na wana CCm wao waliopo hapa JF wanaweza kusema leo ni usiku wakati mchana. Nimeona huko global TV wakionesha daraja la milioni 21 na wakisema ni awamu ya kwanza. Sasa ijajulikana...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha 620,000 Mbunge mmoja Mbeya 540,000 wabunge wawili.

    Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo. Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi. Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi. Huu ni mfano mdogo ambao unadhihirisha tume yetu huru ya uchaguzi si tume huru hata kidogo. Ngongo kwasasa Kwamromboo 🐐
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye mawasiliano ya mbunge wa uyui msaada tafadhali

    Am sorry kama kuna mtu anamawasiliano ya mbunge wa uyui naomba anitumie kwa namba hii 0614922509
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Kenya Anatrend kwenye mitandao.

    Mbunge wa Kenya Anatrend kwenye mitandao, hasa huko Nigeria. https://youtu.be/tBy_aGjSDro?si=jRPx2M-pLfpGBtyu
  20. JamiiForums Tanzania MFANYABIASHARA ALIA NA POLISI ARUSHA KUKATAA KUFUNGUA KESI,ADAI KUDHULUMIWA MAGARI NA MDOGO WA MBUNGE

    MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…