mbowe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waachie Ngazi kutoa Nafasi kwa Mwanzo Mpya

    Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hapajulikani Polisi walipomficha Freeman Mbowe

    Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

  7. N

    JamiiForums Tanzania Lema awananga wanaodhani kuyapatia maisha na kukalia kimya kukamatwa kwa Mbowe

    Godbless Lema. Ambaye kimsingi ameonyesha uoga na kukimbia nchi yake kuogopa makabiriano ya kisiasa ameibuka na kuwananga watu walionunua IST na VITZ huku wamenyamaza na wameshindwa KUANDAMANA kushinikiza Mbowe kuachiwa. Yeye kama alinunuliwa v8 na kodi zetu atulie. Sababu kabla ya ubunge...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mtuhumiwa ugaidi aliye shujaa kwa wengine

    Dunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni. Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyempa jina Freeman, akimhusisha na siku aliyobatizwa: Kwamba pia Makongoro Nyerere...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi "wame-underestimate impact" ya kumtuhumu Mbowe kwa makosa ya ugaidi?

    Ukiacha kelele zinazopigwa kwa nguvu Sana hapa nchini Tanzania za kutakiwa, Freeman Mbowe aachiwe huru, kutokana na makosa yanayoonekana wazi kuwa Jeshi la Polisi nchini limeamua "kubambika" ya ugaidi, lakini vyombo mbalimbali vya dunia navyo vimeungana na wapigania haki wa hapa nchini, kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe akipelekwa mahakamani, viongozi wetu watakuwa salama zaidi

    Polisi wanasema wamekamilisha uchunguzi,Ila wakimfikisha mahakamani sijui kama kesi itaanza au uchunguzi utaendelea. Kwa vile tuhuma zile ni nzito na viongozi wetu wametujengea flyover,ni bora apelekwe mahakamani. Hii ni public trial ambapo wote tutafuatilia yanayotendeka. Lakini viongozi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuachiwa Uamsho na kukamatwa Mbowe kwa Ugaidi Kuna athari kiimani?

    Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe Amesema...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo salama kiafya? Kwanini ndugu na wakili wakataliwe kumwona?

    Nimesikia Mhe. Mbowe ajaruhusiwa kuonana na ndugu zao Wala wakili wake. Hii siyo ishara nzuri nadhani anaweza kuwa na tatizo maana inabidi ujiulize anakula wapi na nani anampelekea chakula? Kwa aina ya mahabusu zetu hakuna chakula, Kama mtuhumiwa mzee wa umri wa Mbowe asipokula na stress za...
  14. JamiiForums Tanzania Ikiwa Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Kongamano la Katiba Mpya, wengine wameshikiliwa kwa kosa gani?

    Polisi Tanzania, nadhani kwa sasa ndio Taasisi inayotia aibu zaidi duniani, Walimkamata Mbowe na wenzake kwa kuandaa kongamano la Katiba mpya, mitaa yote ya Mwanza walimwagwa polisi na hotel kulikopangwa kufanyika kongamano hilo ikiwekwa chini ya Ulinzi mkali kuanzia ndani hadi nje na...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko Freeman Mbowe ametuhumiwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

    Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11. Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake. Zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Kabla hamjamshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kamilisheni uchunguzi wa sumu aliyopewa Mangula

    Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe! Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wa ajabu hadi wanasahau kutumia akili; unamkamata Mbowe kuwa anapanga kuua viongozi, halafu ndio unaenda nyumbani kwake kutafuta ushahidi?

    Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever" Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
  19. JamiiForums Tanzania Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru Watanzania, Mwenyenzi kanijaalia afya njema

    Ukiishi ukapata pumzi na maarifa ya kutambua mema na mabaya mshukuru Sana Mungu Kama unaamini yupo. Ukipewa nafasi yakutubu tubu, ukipewa nafasi yakuhudumia watu hudumia watu bila kudhani una muda mbele wakuishi. Lipo fumbo kubwa Sana Kati uzima na ugonjwa lakini lipo fumbo kubwa zaidi Kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…