mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

    Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango. Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao. Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa? Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo? Mnaogopa nini...
  2. JamiiForums Tanzania Kama Jenerali wa Marekani amewasili nchini, kesi ya Mbowe itatazamwa upya

    Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe. Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems. Kwamba " Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
  4. JamiiForums Tanzania Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

    Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, naomba mtujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe

    Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi. Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe. 1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
  6. JamiiForums Tanzania Rais ulifanya makosa makubwa kuifanya chanjo kuwa hiari, ulipaswa kukubaliana na Mbowe kuwa chanjo lazima ili tuweze kupambana na Gwajima

    Wasalaam wana jamvi. Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale alipotangaza ujio wa chanjo hiyo kwani ingesaidia sana kupambana na watu wanaopinga chanjo hiyo. Nakumbuka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

    Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii 1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi 7. Leo Askofu anatangaza dua...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe inabidi aache siasa rasmi sababu hapati faida yoyote

    Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye. Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao? Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tozo ya miamala, Ugaidi wa Mbowe na Ujio wa Chanjo ya Corona

    Wanabodi, Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu. Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi, likaibuka suala la kukamatwa Mbowe anayetuhumiwa kwa makosa ya kupanga ugaidi. Wakati hili la...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Mbowe na Sabaya nani amebambikiwa kesi?

    June 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia. WanaCcm wakapiga kelele kudai kuwa Sabaya ametolewa kafara ili kumridhisha Mbowe, hii ni sababu Sabaya alimdhibiti na kumfurusha Mbowe kwenye siasa za...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

  12. JamiiForums Tanzania RPC Kinondoni aliyemwambia Mbowe hachomoki ndiye alimwambia Lema hashindi Arusha

    Kumbe huyu RPC ambaye alimtolea maneno mabaya Mbowe kuwa "this time huchomoki tutakupiga na kesi ya ugaidi(kwa maneno ya John Mrema) "vile vile aliwahi kumwambia Lema akiwa RCO Arusha kuwa hatashinda uchaguzi kwa sababu yeye ni Kada. Maneno haya aliyasema ndugu Godbless Lema mbunge mstaafu...
  13. JamiiForums Tanzania Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

    Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea. Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa. Kwamba amekamatwa sababu ya kudai katiba sio hoja. Uhalifu ni suala mtambuka. Mtu anaweza kudai katiba huku...
  14. JamiiForums Tanzania Kibao kilivyogeuka

    Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike. Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi. Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa: Wanataka Kumhusisha Mbowe Na Kesi Hii Ya Agosti 19, 2020 Na "Mpango wa Kumdhuru Sabaya

    Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini Mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili?

    Kwema wakuu? Hivi Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini mahakaman kujibu tuhuma za ugaidi zinazomkabili?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je! Kesho Mbowe kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za UGAIDI kuhadaa Dunia?

    Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi Mama SASHA...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waachie Ngazi kutoa Nafasi kwa Mwanzo Mpya

    Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…