mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021. === Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Shoo atoa neno kuhusu kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo mchafu lakini walio kwenye madaraka wajaribu kutenda haki badala ya kutenda mambo yanayovuka mipaka ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO. Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe - Matokeo ya busara ya kawaida kushindwa kutamalaki

    Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko. Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi. Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya? "Inawezekana namna gani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali yake sio wanamwogopa Mbowe. Hapana, CCM hawawaogopi Watanzania

    Ule mshiko wa kukazania kuwa sababu ya Mbowe kutiwa jambajamba kila wakati na sasa kukamatwa katika aina ya kesi zinazochukua muda mrefu hadi kufikia hukumu ya mkosa au si mkosa ni sababu CCM wanamuogopa Mbowe, sio kweli bali kwa hali ilipofikia inaonyesha wazi CCM wamejitoa hofu na hawamuogopi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani, Walinzi wa Mbowe si walikamatwa na Sabaya mwenyewe? Inafikirisha sana

    Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi? Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata? Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na...
  8. JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Wakili Peter Madeleka baada ya "commital proceeding" ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake

  10. JamiiForums Tanzania Askari waliomsindikza Mbowe mahakamani

    Kwa mbwembwe tu, askari wetu wako vizuri!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi. Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
  12. JamiiForums Tanzania Aibu: Watuhumiwa watatu kesi ya Mbowe wadai kuteswa na Polisi ili wakubali kuandika maelezo ya uongo

    Watuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso, hayakuwa maelezo ya kweli , bali waliyaandika ili wasiuawe kwa mateso . Ombi hilo limetolewa Mahakamani na washitakiwa hao...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

    Kutoka Kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya Kazi ipo. Pia soma Sabaya asema alinusurika kuuawa mara mbili akiwa Mkuu wa Wilaya Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa
  14. JamiiForums Tanzania Maombi kwa ajili ya Freeman Mbowe yazidi kurindima, leo ilikuwa zamu ya Katavi

    Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha. Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake...
  15. JamiiForums Tanzania Kama kamanda Mbowe akitiwa hatiani, CHADEMA tutaweza ku-survive?

    Najiuliza sana juu ya hili suala maana chama chetu hakijawahi kuwa na sucession plan nzuri. Mbowe na familia yake walikuwa ndio CHADEMA. Mpaka sasa ni CHADEMA ni mali yao. Sasa je, kama ikitokea akatiwa hatiani, je CHADEMA itasurvive?
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kesi dhidi ya Mbowe kuanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua za awali Agosti 23, 2021

  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

    Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia. Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala...
  18. JamiiForums Tanzania Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la. ======== Waziri wa Mambo ya Nje...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

    Hii hapa ndio taarifa ya Chadema iliyotolewa leo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…