mbowe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya Mbowe ilisimama?

    Manake there is no any feedback for almost three days now! Nini kineandelea?
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

    Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho shahidi J4 Kizimbani na Kielelezo Chake Tata

    Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla. Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na sahihi, mchumi wa maneno aliyedhamiria anaweza kutatizika vipi hata kwenye hali tata kama hizo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sabaya kaenda jela watu wanashangilia, Mbowe yupo Mahabusu Taifa linavurugika. Tusubiri TCD ya michongo itumike kufuta mchongo

    Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela wanatafuta watu wakukutoa jela? Ishi na watu vizuri wakusaidie unapokwama. Kila Kona anajadioiwa Mbowe...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  6. JamiiForums Tanzania Zitto ajianika alivyotumika jana kumuombea msamaha Mbowe

    Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala? Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba nipingane na mwandishi Erick Kabendera kuhusu hoja ya kumtaka Mbowe aende KWENYE meza ya mazungumzo.

    Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

    By Mchokozi !! kupitia twitter: Mnaishinikiza Familia Imuombe Mwamba Akubali Kikao Cha Kumaliza Kesi Kwani Wakati Mnamkamata Na Kumfungulia Kesi Mliomba Kikao Nae? Mwiba Hutoka Ulipoingilia, Mwamba Anasema Wacha Iendelee Kunyesha. Njia PEKEE Ya Rais Kuondokana Na Hii Kesi Ni Kusema...
  9. JamiiForums Tanzania Nolle prosequi iliyotabiriwa itatolewa kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ikifika 14.12.2021 imepotelea wapi

    https://www.jamiiforums.com/threads/terehe-14-disemba-2021-dpp-atawasilisha-nolle-kesi-ya-akina-mbowe.1936131/
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya Mbowe na maamuzi ya huyu Jaji, ni historia mbaya kwa watoto na wajukuu wa Taifa letu

    By Baba Mwita kupitia twitter: Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Zitto hakumtaja Mbowe yawezekana alimaanisha Yeyote

    Alichokisema Mh. Zitto ni hiki hapa: 1. Hakuna popote alipomtaja Mh. Mbowe. 2. Amezingatia na kuheshimu wasiokuwapo kwa sababu zao. 3. Ameomba "kusaidiwa" kwa mwenzao ambaye angekuwa hapo ila kwa changamoto za kisheria. Chadema ulikuwa ni msimamo wao kutokwenda kwenye mkutano huu. Sababu zao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mbowe anaweza kufutiwa kesi kwasababu Zitto kamuomba Rais amuachie?

    Bila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali imeshaingia gharama kubwa tu kuendesha hii kesi. Sasa tujiulize,ikitokea hivyo, serikali itakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe asisamehewe, ila sheria iachwe ifanye kazi huru. Mnapotaka aachiwe huru mnazingatia nini?Tufahamu Ukweli ni Upi

    watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

    "Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya Mbowe haiendelei leo?

    Manake mpaka sasa hola! Mlishatuzoesha basi semeni angalau mmekwama lakni sio kuacha tu bila hata kututaarifu!
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kupoa mno Kwetu ndilo Tatizo Kuu

    Kama ilivyo tarajiwa hukumu ya leo haikuwa na jipya kama zitakavyokuwa za siku zijazo. Refa kajikita kutafuta chochote dhidi ya upande wa utetezi ili kutupilia mbali lolote wanalo wasilisha. Ama kweli ni refa mchezaji aliyedhamiria kweli kweli. Hoja ngapi za mashtaka zilikuwa na utata mwingi...
  17. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Chadema wajitoe tu kwenye kesi ya Mbowe!

    Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia sana hii kesi ya mbowe mwanzo mwisho nimegundua vitu vingi sana ikiwemo ukiukwaji wa mambo mengi sana...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

    Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi huenda ni ya kuzingizia ya Ugaidi dhidi ya Mbowe. Askofu huyo licha ya kudai kuwa wafuasi wa chama...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kuelekea hukumu kumhusu Ling'wenya

    Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa: 1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu. 2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile: Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…