mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  2. JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  3. JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Watanzania na Baraza la Wanawake Chadema Iringa 08/03/2022

    HOTUBA YA MBOWE Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Mapokezi ya Mbowe ukumbini Iringa leo Tarehe 08/03/2022

  5. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe mkoani Iringa; Asema CHADEMA inachokozwa, ataja bendera ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mkoani Iringa Sehemu ya kauli za Mbowe katika hotuba yake: "Tumekataa kuwa chama cha tamaa za fedha na...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri litengenezwe jarida la yote yaliyozungumzwa Mahakamani Kwenye Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na Wenzake

    Habarini, Nashauri Viongozi wa Chadema kwamba. Kwa kuwa waliruhusiwa kurekodi yote yaliyokuwa yanazungumzwa kwenye kesi hiyo. (Nimedokezwa na jamaa zangu wa State Attorney kwamba hii ndio iliyowafanya wakimbie kesi kwani uongo wao mwingi uliwekwa hadharani). Nashauri Uongozi wa Chadema au mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

  8. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania. Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania. Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa Mbowe na Wenzake, Tanzania imeshinda

    Pongezi nyingi kwenu viongozi wetu Mama Samia na Mheshimiwa Mbowe. Kwa hakika kama taifa mmetutoa kimasomaso. Mama Samia kauvaa ushujaa kwa kutuondolea aibu taifa hili na kuamua kutuunganisha bila kujali maumivu kokote. Mheshimiwa Mbowe japo muathirika mkuu wa kadhia hii, kwa maslahi ya taifa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

    "Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo. “...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Freeman Mbowe alienda Ikulu Usiku?

    Huwa naikumbuka sana picha ya Rais Samora Machel aliyopiga na P W Botha ,Wazir Mkuu wa Africa Kusini,tarehe 13 March 1984. Wakati huo nilikuwa darasa la Tatu.Baba alikuwa akienda mjini anarudi na Gazeti la Mfanyakazi hata kama ni la wiki tatu! Picha ile inamionesha Rais Samora akisaini...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

    Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana. ======== Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa dunia inakitambua hata CCM waliokuwa hawatutambui kupitia kesi hii wametambua kwamba CHADEMA ni jeshi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukosekana attention ya kutosha suala la kuachiwa kwa Mbowe

    Asilimia kubwa ya waliopo humu JF ni watu wenye IQ kubwa sana. Nilichokiona suala la kuachiwa Mbowe ni suala kubwa na halikwepeki kuchukuwa nafasi kubwa katika media hasa za ndani including hapa JF. Kiuhalisia humu JF limechukuwa nafasi yake lakini sio kwa kiwango kinachostahili. Kwa mtazamo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vituko na Burudani kufuatia kuachiwa kwa Mbowe

    Kufuatia kuachiwa huru kwa Mh. Mbowe na watuhumiwa wenzake na yaliyofuatia hadi Ikulu, kwa ujumla kumeleta furaha kubwa nchini. Heko Samia, Mbowe na wote waitakiao mema nchi hii. Mshindwe na mlegee enyi mliojawa na nyoyo za ufedhuli ambapo kwenu, mema ndiyo maovu na maovu ndiyo mema. Angalia...
  17. JamiiForums Tanzania Ameanza Tundu Lissu nchini Ubelgiji kisha impact yake ikawa Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka na kisha straight Ikulu kuzungumza na Rais....

    This is absolutely strange indeed. Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka. Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaolalamika na kubeza Mbowe kwenda kuonana na Rais, Mlitaka afanye nini?

    Amani Itawale kwenu Nyote! Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo. Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atuma neno kwa Freeman Mbowe amsifu Rais Samia

    "Ibara ya 118 ya ilani ya uchaguzi ya CCM inaeleza Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuheshimu na kulinda misingi ya demokrasia na haki za binadamu kwa ajili ya kudumisha umoja, amani na ustawi wa Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Nchi" "Namshkuru Mhe Freeman...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

    Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote." Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni. "Kwamba, ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi." Wasikie sasa wale manguli wa kile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…