mbowe

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Tuendelee kuheshimu mapumziko ya Mbowe atakapokuwa tayari atatupa majibu

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Ni lini Mbowe alienda Gerezani kumona Tundu Lissu?

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda Gerezani kumona mwanafunzi wake wa siasa Tundu Lissu?
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Hakika Lissu ndiye ataweza, Mbowe hakutegemea hiki

    Amani muswano mtanzania. Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?. Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni. Wote hawa ni sinema tu. Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ikitokea Mbowe ameahamia CHAUMMA, nini hatma ya ile nafasi yake ya mjumbe wa kudumu?

    Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi. Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli . Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu. Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?
  6. JamiiForums Tanzania James Mbowe: Wanaoshangilia vifo wamrudie Mungu

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa. Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job...
  7. JamiiForums Tanzania Rais - Serikali yako ilitenda wema kwa Lema, ikatenda kwa Mbowe kisha ikatenda kwa Ole Sabaya - fanye hivyo kwa Lissu

    Rais wetu mpendwa! Salaam! 1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi; 2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa Lema (mbunge wa zamani wa Arusha); inatambua wema tena wako kwa Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

    "Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli" Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  9. JamiiForums Tanzania Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

    Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu. Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Freeman Mbowe akubali kushiriki Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekutana naye akipima Suti

    Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA. Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA. Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam. Baada ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage

    Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage. Huyu mwanamuziki alijulikana kwa kungangania kubaki kwenye stage kwa kupenda kushangiliwa. Msinshangae Mbowe na Kikwete nao hawawezi kukubali muda wao umepita
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Mbowe ametanguliza Watoto kuangalia kama watafaulu

    Mahojiano haya ya Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) alifanya mahojiano na East Africa Radio ambayo yalirushwa hewani Juni 10, 2025, aligusia kuhusu hali ya siasa inavyo upande wa CHADEMA.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbowe na Mpina: Mfano wa Wanasiasa wasio na Mioyo ya Shukrani

    Habari za leo Watanzania Tukiwa tunaelekea ktk Uchaguzi mkuu, zimefika zile nyakati za Wanasiasa kuhama Chama hiki kwenda kile kwa Maslahi ya Kisiasa. Naomba kuwagusia hawa Wanasiasa wawili kama mfano wa namna Wanasiasa wasivyo na Mioyo yenye Shukrani. 1.Freeman Aikael mbowe ameingia ndani ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuhusu Mbowe kwenda CHAUMA, Bwege alishasema: "Amewatanguliza Watoto Kama Bata"

    Akina Yericko Nyerere na James Mbowe ndiyo watoto wenyewe, tena watoto wa karibu sana, mmoja akiwa mtoto wa damu. Ukiona wametangulia hao, jua baba yao yuko nyuma anausoma mchezo, wakifanikiwa basi naye atakuja kwa speed ya chopa.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

    Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anajiunga lini Chaumma?

    Sio siri wala kificho tena. Mliopo karibu na Freeman Mbowe mwambieni asijifiche tena, atoke kichakani na kulitangazia Taifa siku gani anahamia Chaumma. NB Poleni kwa msiba wa spika mstaafu Job Ndugai. Atapewa mazishi ya kitaifa?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma.. Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpango wa Mbowe kwenda CHAUMMA umeshindikana

    Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika. Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…