Kwanza hongera Sana Mh Mbowe
Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge.
Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha itakuletea madhara hasi.
Yapi madhara hasi yatatokea
Utakosa nguvu
Utakosa Sauti ya kusikika...
Mpo salama!
Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.
Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
Wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, watakutana kupiga kura na kumchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa, tarehe muafaka itakayotangazwa na kamati kuu.
Kwa hali ya kisiasa ilivyo ndani ya chadema iliyogawanyika, ushawishi wa Freeman Aikaeli Mbowe...
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi .
Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
Hellow!
Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama,
Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu.
Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt...
Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa.
Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20.
Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
KWANINI NI MBOWE NA SIO LISSU NA KWANINI CHADEMA HAIFI?
Mchakato wa Uchaguzi wa Chama Taifa umeanza, na tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Ndugu Tundu Lissu amejitokeza kutangaza nia nia ya kuwania Uenyekiti Taifa, Ninakubaliana kwamba Tundu Lissu ni kiongozi mzuri mwenye misimamo...
CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani.
Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
MAHOJIANO YA LISSU NA VOICE OF AMERICA (VOA)
VOA: Nini kimetokea na uongozi wa sasa?
Lissu: Umekuwa madarakani kwa miaka 20 na muafaka tunatakiwa kufanya mabadiliko ya lazima ili tuweze kupeleka chama mbele.
VOA: Plani yako nini kama ukiwa M’kti, unapeleka chama vipi?
Lissu: Hapa tulipo...
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka.
Mpaka sasa,
tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na...
Copy & Paste from Twitter.
MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO
SIFA ZA MBOWE
1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii.
2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu
3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala.
4...
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti...
Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia.
Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe.
Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe...
Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote.
"Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda...
Kwa point tuliyofika kama nchi kunahitajika mwenyekiti wa chadema kama chama kikuu cha upinzani ambaye yuko tayari kwa mambo yafuatayo ambayo sidhani kama mbowe anayaweza
Kukaa jela hata miaka 10
Kufa
Kuteswa
Kwa sababu ccm sio tena chama cha siasa ni genge la wahuni mfano uchaguzi wa serikali...
Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi .
Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema.
Majina...