mbowe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maono- ndoto kuhusu Mbowe

    Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe. Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
  2. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Mbowe epuka makosa haya kukinisuru CHADEMA

    Wakuu habari ya muda. Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya. Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif Hamad alipokuwa CUF.Ni ukweli ambao haukipingika kuwa CUF ilikufa baada ya Seif Sharif Hamad...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake ili ajenge chama, usidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi

    CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe Nani...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Acheni kuremba mwandiko, Mbowe umeshachokwa

    Huo ndiwo UKWELI! Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE! Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni ulivyovurugana na Profesa Kapuya kuhusu hoja ya maadili ya wanafunzi hali iliyopelekea mkafukunyuana vibaya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni hatari thinktanks na washauri wa mwenyekiti Mbowe kuwa watu kama Ntobi na Boni Yai

    Zamani Chadema ilikuwa imesheheni vichwa makini, walikuwa watu kama profesa Safari, Profesa Baregu. Hawa ndo walikuwa thinktanks na washauri wa Chama. Leo inasikitisha chama kimebaki na wahuni kama Ntobi, kijana anayetukana matusi ya wazi viongozi wa chama. Yeye mtu mwenye thamani kwake ni...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii CCM inamhitaji zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema?

    Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa. Sisi awamu hii kama...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameongoza CHADEMA kwa miaka 20 sasa, hii ni demokrasia gani?

    Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
  8. FK21

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inamuhitaji lissu na sio mbowe

    Mbowe akiendelea kuongoza chadema itabaki hivi
  9. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye chama hautabadilika sana endapo watashindwa kupata nafasi ya mwenyekiti

    Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe atatangaza kustaafu, Wajumbe wote mnatakiwa kumuunga mkono Lissu

    Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake. Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na...
  12. markp

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe haaminiki tena ndani ya CHADEMA

    Watu wengi tulimwamini sana Mbowe kama anaweza kuendesha chama na hana maslahi yanyoambatana na CCM lakini huu uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA umemprove wrong kuwa haaminiki. Hebu angalia woote walikubali Lissu agombee uraisi hii ikiwa na maana anaweza kuongoza nchi yetu vyema lakini jambo...
  13. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Chadema naanza kuamini wale Wabunge 19 wana baraka za Mbowe na chama kwa ujumla

    Wamehitahidi sana kutuzuga na kumlaumu Ndugai kuwabeba na kuwakumbatia Wabunge wanawake 19 kutoka Chadema almaarufu Covid 19. Muda ni mwalimu mzuri, Mbowe ni mnafki sana, alishalamba asali, akija kwetu wananchi anajifanya hajui lolote kumbe nyuma ya pazia alishalamba asali. Kwaa yanayoendelea...
  14. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

    Wasalaam Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu. Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha...
  15. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Chief Odemba star tv nakuomba andaa mdahalo Kati ya lisu na mbowe tuwapime kwa hoja kama Mbowe atagombea .

    Watanzania na wanachadema, wapenda mageuzi, wapenda mabadiliko, wachague mwenye hoja na sio blah blah, I'li tuone democrasia ndani ya chadema inafanyika
  16. econonist

    JamiiForums Tanzania Simuamini Wenje, Mnyika na Mbowe

    Wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mbowe , Mnyika na Wenje walihamasisha CHADEMA ishiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na wengi kuona kasoro zilizokuwepo za uchaguzi kusimamia na TAMISEMI. Mwenyekiti Mbowe ndio akaja na kuweka maamuzi ya kwba CHADEMA itashiriki uchaguzi wa...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane Mbowe hakubaliki hata kwa wale wajumbe 1200

    Wajumbe tunaishi nao mtaani Binafsi pia ni mjumbe wa mkutano mkuu Nina marafiki zangu zaidi ya 50 hawakubaliani na Mbowe kuendelea!! Pia ndio tunaishi nao humu mitandaoni Kwani wenyewe hawapo Jamiiforus, twiter na Facebook? Ukiangalia kura ya maomi mtandaoni 98% ya maoni wanamkubali Tundu...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya uchaguzi, Lissu tunaomba umpeleke Mbowe Takukuru kuhusu fuko la Abdul?

    Fuko la Abdul kila lilikopita mitaa ya Chadema lilipokelewa kwa mikono miwili isipokuwa kwa gwiji la upinzani Afrika. Lissu ndio mtanzania pekee hapo Chadema aliletewa mfuko umejaa mamilioni kama sio mabilioni sebuleni kwake na akaamua kuyakataa. Na ushahidi wa cctv upo. Baada ya uchaguzi...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Mengi Yanasemwa Kuhusu Mbowe, Lakini Kuyaamini Mpaka Nitakapoona Amechukua Fomu.

    Mbowe aliahidi kuwa mwaka 2023 ungekuwa mwaka wake wa mwisho kuiongoza CHADEMA kama mwenyekiti wa chama. Wengi kama si wote, tuliunga mkono uamuzi wake huo maana kuwa kiongozi haimaanishi kukaa kwenye uongozi kwa miaka nenda rudi, bali kuwa na uwezo wa kuwatengeneza watu wengine kuwa viongozi...
  20. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atagombea uenyekiti , naachana na kufatilia siasa za Tanzania.

    Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu. Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Back
Top Bottom