Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amemwombea msamaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, akiwataka wananchi wa Hai kumsamehe huku akisisitiza kuwa hakuna binadamu asiye na dhambi.
Mbowe ametoa kauli hiyo leo Aprili 23, 2026...