mbowe

  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

    Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga. Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ingetokea mbowe angeshinda hivi ndivyo machawa wa mbowe walijipanga kutusimanga, Tungesimangwa tuchakae

    Ujue unafiki tuweke pembeni! Adui akikosa na wewe kama una mmudu malizana nae Laiti mbowe angeshinda wale watoto walikuwa wameandaa masimango makubwa hatari! Haya ni machache tu! 1. Wafuasi wa lissu tuliwaambia kura ni ujasusi wa namba mbowe ni alpha na omega 2. Lisu tulimuonya hakusikia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe asema baada ya kushauriana na familia yake, atawasilisha rufaa yake makao makuu ya CHADEMA

    Wakuu salama? Nimekutana na hii kwamba Mbowe ameshauriana na familia yake na ameahidi kukata rufaa, je ina ukweli wowote hii?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa ataongea nini baada ya Mbowe kuondoka CHADEMA na kuingia Lissu aliyekuwa anamsifu?

    Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe. Sasa Mbowe kaondoka...
  6. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Majigambo ya waliojiita "wao ni wapiga kura halisi" wa Team Mbowe na eti Team Lissu ilikuwa na "wapiga kelele..."

    Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0 Jamaa alikuwa anajigamba na kujitapa kweli kuwa yeye "ndiye mpiga kura halisi" na wale wa upande ule...
  7. JamiiForums Tanzania Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

    Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa. Hii Vita haijaisha mpaka iishe
  8. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

    Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje. Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama? Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini...
  9. JamiiForums Tanzania Kina nani waliolia kilio cha kusaga meno baada ya Boni yai kurudi VIP room na kutoa kutoa matokeo ya kura za Mbowe

    Aisee hili jambo limenishangaza sana. Juzi Boni yai aliandika Tweeter kuwa alipoingia VIP room kutoa matokeo ya kura za nafasi ya mwenyekiti, eti baadhi ya watu waliokuwa na Mbowe VIP room, baada ya kusikia Mbowe kapigwa chini, walilia kilio cha kusaga meno. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21, kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

    Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
  11. F

    JamiiForums Tanzania Lissu mtafute Mbowe haraka iwezekanavyo mjenge what called "The Tanganyika winning team"

    Lissu, Wewe ni msomi na unajua uchaguzi hakukuwa na mshindi bali ilikuwa ni pande mbili ambazo wewe ulimpita mwenzako wa 31 votes almost. Sisi tunaona ni muda sasa wa ushindi, mtafute Mbowe na timu yake mje na kitu kipya ambacho Watanganyika wanataka kukisikia ambacho mkikileta hata kiwete...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

    Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje. Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI Kumbuka: 1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe haraka atimuliwe ndani ya CHADEMA

    Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni na uchaguzi wa majuzi. Kumbakisha Mbowe CHADEMA ni hatari sana. Ni heri aondoke na siri za zamani tu...
  15. JamiiForums Tanzania Lisu na Mbowe, Angalizo - Wakati sahihi kuingia, wakati sahihi wa kutoka,

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Msigwa anasema Mbowe alilamba asali kutoka CCM, sasa yeye anafanya nini CCM?

    Hili ni swali la muhimu.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kumfanya yule bwana akalambe yeye asali; angewauza mchana kweupe

    Msigwa kwa mujibu wa Lema alitofautiana na Mbowe baada ya ukimya wa mwenyekiti ambao ulipelekea waanzishe group la WhatsApp na Msigwa kuanza kumtuhumu kuwa amekuwa kimya kwa sababu amelamba asali. Kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti alitamani kufanya kazi na watu wasio na uchu wa madaraka...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajishughulishe na CHADEMA kwa tahadhari kubwa

    TAHADHARI 1; Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa. TAHADHARI 2; Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…