mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  2. S

    Kwa Katiba hii mbovu Rais anaweza kuuza mkoa wa Arusha na asihojiwe wala kushitakiwa mahala popote. Tuibadilishe

    Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro. Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni mali ya watanzania wote. Kwa mujibu wa katiba ardhi yote iko chini ya rais". Kwahiyo basi, katiba...
  3. RITA mlituletea huduma mtandao mkiwa na lengo la kupunguza foleni katika maofisi yenu, huduma hii ya online ni mbovu mno

    Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi? Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi. Mwaka huu ulivyo anza...
  4. Wizara ya Elimu kuliko kuboresha utekelezaji wa mtaala huu mbovu ni bora mngeelekeza juhudi zenu kuandaa mtaala mpya

    Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini! Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri wanashindwa kwa kukosa mitaji ikumbukwe bado Wana deni la bodi ya mikopo!!unaweza vuta picha ya hali ya...
  5. E

    Wanafizikia nisaidieni NECTA FORM 2, 2019 kuna swali lenye majibu ya kipuuzi

    Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni. Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa. Mfano: NECTA FORM 2 ya mwaka 2019 kwenye Section A, swali la 1, (i) ameuliza ifuatavyo (i). Why Physics...
  6. S

    Ni suala la muda tu kabla Ndugai hajakiri au kutamka hadharani kuwa Katiba ya nchi ni mbovu

    Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu. Kwahiyo...
  7. U

    Afcon 2022 mbovu sijapata ona

    Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana. Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka likichezwa taratibu sana Yan mtu mpaka unaboreka. Michuano mikubwa lakin hakuna mashabiki Yani...
  8. Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

    Hakika leo nimekwazika kiwango cha juu mno..sijawahi kuchukia Na sipendagi kuchukia kiasi hiki cha leo
  9. Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

    Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata. Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
  10. Fainali mbovu ya UCL kwa upande wako ni ipi?

    Kwa mujibu wa Football Funnys wanasema Fainali ya Uefa Champions League (UCL) kati ya Spurs Vs Liverpool ndio fainali mbovu kuwahi kutokea katika historia ya ligi ya mabingwa. Spurs alilala 2-0 dhidi ya Liverpool kirahisi mno tofauti na matarajii ya wengi waliodhani itakuwa mechi ngumu! Kwa...
  11. Wizara ya Kilimo ndio wizara mbovu kuliko zote awamu hii ya sita, ni bora ifutwe tu!

    Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu wanauziwa mbolea 150000"watu wameamua kuachana na kilimo Cha mahindi wanalima maharage kwa sababu...
  12. TANESCO wakiri kutoa huduma mbovu, ambao wameutaja kama udhaifu

    TANESCO wamekiri kutokuwa na uwezo wa uhifadhi ambao umeshauriwa kimataifa ambao ni 15%. Katika mpango mkakati wa 2020 - 2025 wamekiri kuwa utoaji wa huduma mbovu kuwa kati ya udhaifu walionao Kwa maneno ya moja kwa moja ni kuwa wamekuwa na panda shuka ya kutoa huduma ya umeme inayosababishwa...
  13. M

    Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
  14. 97.2% ya magonjwa yasiyoambukiza hutokana na ulaji mbovu

    Tafiti za wataalamu wa masuala ya afya na lishe bora zinabainisha kuwa asilimia 97.2 za viashiria vya magonjwa hayo yanatokana na kutozingatia kanuni bora za lishe,huku Mkoa wa Dodoma ukitajwa kuongoza kwa 42.27%,ikifatiwa na mkoa wa Geita 39.94 na Arusha 38.6%. Dkt Omari Ubuguyu ni Meneja...
  15. Tamaa za pesa zimetuponza Simba, tumesajili kimhemko. Sijasikitika sana

    Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi. Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
  16. B

    Usimamizi mbovu wa mifumo ya huduma mtandao hutumika kuiba mabilioni katika kutoa huduma. Rais, agiza ukaguzi wa mifumo yako utanishukuru

    Nilianza kupata ubuyu huu kwenye mjadala wa vijana flani nikashtuka Sana, katika udadisi na kujielimisha kupitia maandiko mbalimbali ya huduma mtandao ( e- services) nikagundua ipo haja yakuikumbusha serikali umuhimu wa kufanya ukaguzi maalumu katika mifumo ya utoaji huduma zinazolipiwa kwa...
  17. Huduma mbovu Train ya Deluxe

    Wakuu heshima kwenu; Katika mashirika ya Serikali ambayo yanapaswa kuwa na huduma za kueleweka ni hili la huduma za usafiri,hasa nikimaanisha train maana ndio kuna mkono wa serikali ukitoa lile shirika lenye zile mashine zirukazo angani. Lakini katika hali ya kushangaza train ya deluxe kutoka...
  18. M

    Hivi unamtoaje Israeli Patrick Mwenda na kumuingiza Beki mbovu Kibwana Shomary? Kwa hasira nashangilia Benin kwa sasa

    Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo. Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi...
  19. TAWAQAL Petrol Station, Ipogolo, Iringa; huduma ya chakula mgawahani ni mbovu sana

    Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya. Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo. Mbaya zaidi ni huduma ya...
  20. Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

    Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua. Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…