mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko njia alotengeneza Makamba ni mbovu. Kwa kuanza tengeneza yako!

    Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe! Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo : 1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando...
  2. JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka! Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa. Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania PAROKO: Tusikae kimya sasa kusubiri Miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari.

    Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Huduma ya TTCL ya kutoa Internet nyumbani ni mbovu sana

    Ndugu zangu ninahitaji kuunganishwa na huduma ya internet ya TTCL nyumbani kwangu. Kwakweli ni aibu kusema nilikuwa natumia huduma ya Zantel ambayo ilikuwa nzuri na nilipopata changamoto au hitilafu walikuwa wanakuja haraka sana kunipa huduma sema gharama ilikuwa juu kwani nilikuwa nalipa...
  5. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete kukemea Udini peke yake haitoshi tunataka Msimamo wako juu ya Mkataba mbovu wa Bandari

    Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi. Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana. Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama una simu yoyote mbovu inahitaji repair DM

    Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware 1. Umesahau password 2. Simu yako imevunjika kioo 3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako 4. Matatizo ya network 5. Ulizi wa simu yako 6. Kuongeza storage iphone au android phone
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, Serikali itagombana sana na Watanzania kwa Mkataba mbovu wa Bandari

    Hawa ndo wanyakyusa katika ubora wao hawapendangi ujinga. Hizi nyimbo unaweza kuzibeza lakini kuna la kujifunza hapa kama wenye mamlaka wana akili. .
  8. JamiiForums Tanzania Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

    Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini...
  9. JamiiForums Tanzania Upatikanaji mbovu wa taarifa kwa wanafunzi wanapokua vyuo vikuu

    Hoja: Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya wanafunzi wanaowakilisha (CRs) inaweza kusaidia, lakini matokeo yake hayana uhakika kwa sababu ya muda...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo. Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
  12. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  13. JamiiForums Tanzania Beno alitaka tu Tsh 65M na Mshahara wa Tsh 10M mkakataa, ila Mbrazili mbovu mmempa Tsh 400M na Mshahara wa Tsh 14M

    Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia? Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na Kaondoka kwa Maumivu makubwa Moyoni kwani alichukiwa na Viongozi Wawili kwakuwa tu alikataa kuwapa 10% ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  15. JamiiForums Tanzania Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

    Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar. Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Akili mbovu ya vijana wa kizazi hiki kufikiria wakatapa teuzi kwa kusifia viongozi

    Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao. Katika kitabu kimoja cha uongozi nilikisoma kwa uzuri sana. Kinasema kiongozi mzuri hujipambanua...
  17. JamiiForums Tanzania Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  18. JamiiForums Tanzania Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

    Impliedly
  19. JamiiForums Tanzania Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

    MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila na sanasana ni zile koo za kichifu lakini bado ni tofauti kabisa na uchawi huu tunaozungumzia hapa wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k. Uchawi umekuwa ukisumbua jamii...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…