mbosso

  1. Mgeni wa Jiji

    BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  2. Mhaya

    Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  3. GENTAMYCINE

    Mwenye Video Clip ya RC mpya wa Arusha Kihongosi akichana / akiimba Remix ya Wimbo wa PAWA wa Mbosso aiweke hapa tafadhali

    Wiki mbili zilizopita alinichapia Wapuzi Fimbo kwa kutokuwa Wazalendo wiki kanionyesha kuwa Jamaa ana Kipaji sana tu.
  4. M

    Ugomvi baina ya Diamond, Mbosso na Baba Levo kisa wimbo wa Pawa

    DIAMOND: @Officialbabalevo WEWE KUANA MWENZANGU NA NAHESHIMU NAFASI YAKO ILA UNAPOELEKEA. UNANILAZIMISHA KUKAA MBALI NA WEWE MAANA UNAFANYA. NIHISI KUNA AGENDA. NISIOLJUA UNANITENGENEZEA. @mbosso_ UNAHAKI YA KUTOPENDEZWA, KUCHUKIA NA KUREACT KWA NAMNA YOYOTE UNAYOHISI NI SAHIHI UNAPOKOSEWA ILA...
  5. Waufukweni

    Mwalimu atumia wimbo wa Mbosso 'Pawa' kufundishia Wanafunzi darasani

    Katika kuleta ubunifu na ufanisi kwenye ufundishaji, Mwalimu Kalesi ameibua hisia mitandaoni baada ya kutumia wimbo maarufu wa msanii Mbosso, "Pawa", kufundishia wanafunzi wake darasani. Kipande cha video kilichosambaa mitandaoni kikimuonesha mwalimu huyo akiimba na wanafunzi wake kwa pamoja...
  6. sinza pazuri

    Tazama Diamond Platnumz akiandika wimbo wa Pawa alioimba Mbosso

    https://www.instagram.com/reel/DNKynyksZuT/?igsh=MXZ2Ym0zcGh1MDNjdQ== Kuna wakati nilieleza kuhusu Diamond Platnumz kuandika hitsong ya Pawa ambayo imeimbwa na Mbosso nilioga matusi hapa. Sasa kuna receipt hapa imepostiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa media namba moja Tanzania. Wasanii wasio...
  7. sinza pazuri

    Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

    wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz. Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane...
  8. sinza pazuri

    Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

    Album 5 bora za muda wote ni 1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay 2. Aka Mimi - Mangwea 3. A boy from Tandale - Diamond 4. Binti - Lady Jaydee 5. Room Number 3 - Mbosso Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama. Hongera...
  9. sinza pazuri

    Ni rasmi sasa Mbosso umeiva, umemheshimisha Diamond

    Huyu hapa Mbosso aka Mshedede. Alipotoka kwenye lebo namba moja Africa Mashariki ya WCB kila mtu alisubiri kuona anafanya nini. Kiukweli nathibitisha sasa Mbosso ameiva. First touch yake ni zaidi ya expectations za wengi amevuka mstari wa matarajio. Ametoa EP nzuri sana, lakini akuishia...
  10. Waufukweni

    Diamond athibitisha Mbosso kuondoka rasmi WCB Wasafi na hajamdai hata TSh. 10

    Bosi wa lebo ya muziki wa WCB Wasafi Diamond Platnumz amethibitisha Mbosso kuondoka rasmi chini ya lebo hiyo na kuwa msanii huru ambaye anajitegemea mwenyewe kisanaa. Soma: Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB Akimwelezea kutokana na ukarimu na heshima ya Mbosso kipindi chote wakiwa...
  11. Waufukweni

    Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB

    Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefafanua taarifa za msanii wake Mbwana Kilungi maarufu ‘Mbosso’ kuondoka kwenye lebo hiyo, huku akisema yeye ndiye mtoa tamko wa lebo hiyo. Soma: Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond Kupitia...
  12. Waufukweni

    Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  13. kajamaa kadogo

    Mbosso anapania sana kwenye nyimbo zake: Wimbo huu umeniimbia kabisa!

    Huyu jamaa naona anapania sana kwenye nyimbo zake kuna moja ya mistari yake unasema "vishavu vimeanza kunona kitambi ndo hiki sasa ona nanenepa nanenepa na nami nimempata chioma" Bwana mbosso huu wimbo umeniimbia mimi kabisa 🤣🤣🤣
  14. kajamaa kadogo

    Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  15. Waufukweni

    Wasanii wa Wasafi washinda Tuzo Saba usiku mmoja katika East Africa Magic Vibes Awards

    Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa kuamkia leo Desemba 16. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa lebo hiyo inayotambulika kwa kuwatengeneza...
  16. sinza pazuri

    Bob Maneke ampigia magoti Mbosso afanye show ya live kabla mwaka haujaisha

    Prodyuza nguli na mtu wa muziki Bob Maneke ametuma ombi maalum kupitia Instagram akimuomba GOAT wa live shows za bongofleva Mbosso. Maneke akiwakilisha kilio cha watu wa muziki cha muda mrefu kutaka live show ya Mbosso. Mimi naongezea ushauri wa Mbosso kuja na band kabisa ya bongofleva maana...
  17. anoldmedia

    Mtoto wa Mbosso kazoea hela

    Mtoto kazoea hela 😄
  18. sinza pazuri

    Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

    Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso. Mbosso ni fundi wa live music. Anaimba...
  19. DR Mambo Jambo

    Huu Hapa ukweli kuhusu Utata wa selemani aliyeimbwa na Mbosso..

    Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana.... Historia kamili hii hapa, Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original, Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa. Bahati...
  20. BARD AI

    Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
Back
Top Bottom