Dah! Yaani hata sielewi...
Kuna huyo mwanamke tulitokea kupendana sana.
Previous (Early 2023), alikuwa jirani tu wa kawaida, ila kuna kipindi mipango yangu ilikwenda mrama sana, nikasumbuliwa na janga la njaa kali. I'll never forvet the day niliyoanguka kolidoni nusu nife, alikuwa katulia...