Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?
Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia
Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke.
Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia pita hakuna shida Kuna nini kinaendelea aisee hii nchi mbona ishakua shida.
Mnaopita kitonga...
Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?.
Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona...
Kuna jambo sijaelewa hapa kinachoendelea tanganyika.Naona wanzabari wakianza kurudisha kwao na wengine kuuza mali kwa bei kubwa kwa watanganyika.
Kabla ya uchaguzi alivyoshika madaraka kama kuna ajenda ilikuwa kisiri maana uwekezaji wa wanzanzibari umekuwa wa kuepeleka kwao sio utanganyikani...
"Wanasema baadhi yao kwamba itakuaje mpiganie amani wakati nhi hakuna haki, wanasema hivyo lakini sisi tunasema nchi hii ipo haki kwa sababu taasisi zinazosimamia haki za watu zipo zote mahakama zipo, vyombo vya dola polisi wapo" -Amesema Sheikh
-------------
Hii battle ya Masheikh ya masheikh...
Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli?
ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana
naanza...
Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.
Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,
Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?
Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
Tumsifu Yesu Kristu
KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno.
Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi?
Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi
Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali...
Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga...
Inadaiwa watu wengi walio kufa Hospitali ni kwasababu ya damu kuwaishia. Maandamano ya Uchaguzi mkuu wa 2025 ambao Samia aliamua kuubaka, uliua watu wengi kwa kuishiwa damu
Ajabu hawajasema tukajitoolee damu.
Wauguzi walitumiwa meseji za kuwashukuru kwa kujitolea kuwauguza na kuwatia faraja...
Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.
Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.
Au nafsi zinawasuta?
Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?
Uzzuri hakuna Mbunge wa...
Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo.
Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi kwao. kuanzia Zanzibar hadi India. Au vipi>
Wamemkamata dada wa watu. Kwani walijua ni Lissu gani anayependwa? Hivi maLissu wapo wangapi huko Manyoni na Itigi?
Haya basi tuseme hapa anapendwa Tundu! Mnakataza hata kupenda watu? Je kama ni mjomba ake?
Mbona mnakuwa kama mafisi?