mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mbona Waziri Mkuu kaja na hii kauli?

    Najiuliza mini chanzo cha matamshi haya ya PM?
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watani acheni mzaha, deni la ATCL bilioni 472.8B??? Mbona kama mlikurupuka kwenye hii biashara

    Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
  3. JamiiForums Tanzania Kodi ya Jengo: Mbona nakatwa kiwango cha juu sana?

    Alafu siishi gorofani daah tutafika kwel?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Barbara alisaini na Azam mbona hawaonyeshi huko Rabat?

    Lopolopo Hajj Manara lilidai lina mkataba wa simba milion 384 kwa mwaka kuonyesha contents za simba huko Azam TV. Cha kushangaza ni contents za utopolo ndizo zinaonyeshwa huko Morocco ina maana hela yao imeliwa bure?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe mbona yupo kimya sana?

    Jasusi wa zamani wa TISS, Mwanadiplomasia na waziri mstaafu Benard Membe yupo kimya Sana awamu hii. Membe ni jasiri aliyemtikisa Magufuli na kukosoa utendaji wake tangu mwaka 2016 mwanzoni. Namnukuu"Rais Magufuli asitudanganye eti kapunguza matumizi ya serikali kwa kuunganisha wizara...
  6. JamiiForums Tanzania Hii Kodi ya Majengo mbona ni utata? Ninawaza tofauti

    Ninajiuliza, kama mwanzo kodi hizi zilikua zinalipwa na wamiliki wa majengo, imekuaje mzigo huu utupiwe kwa wapangaji? Hii ni haki siyo uonevu? Kwanini nisifikiri kuwa viongozi wetu huko juu ndio wengi wao wanamiliki majumba mengi kama miradi yao wanataka kukwepesha mzigo huu kwao? Kwanini...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbona Simba na Yanga wanasajili wachezaji wengi hivi?

    Jamani Simba na Yanga why wachezji wengi kiasi hicho, nimeona AL AHLY wamesajili wachezaj watatu. Sisi kama wanaocheza ni 11 why sasa tumesajili kama wachezaj 15 ina maana kuna wengine tutawaacha au Labda mimi sielewi!!! Kuna wengine watakuwa ni benchi msimu mzima sasa
  8. JamiiForums Tanzania UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

    Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina...
  9. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Chamuriho uliahidi kutangaza tenda ya ujenzi wa Barabara ya Itoni (Njombe) - Lusitu (Ludewa), mbona kimya?

    Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
  12. JamiiForums Tanzania As a software engineer, what can you tell them, if you can't solve a problem?

    You just say that you can’t solve the problem. If somebody asks me to find an element in an unordered list with less than O(n)O(n) complexity, I’ll just tell them “sorry, this problem cannot be solved - maybe we can change the problem so that the list is kept ordered?” Or sometimes the problem...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mbona kila jambo awamu hii linapokelewa kwa kuwekewa dosari? CCM tujirekebishe

    Hata uteuzi wa leo tayari dosari zimeonekana. Tayari malalamiko kibao kuwa watu hawapo makini majina yamejirudia. Haya uteuzi wa Mtednaji wa TANROAD tayari utaratibu umenyoshewa vidole. Miamala dosari! Bei za mafuta dosari! Mishahara ya watumishi dosari. Safari za Mkuu wa Nchi dosari! Ndege ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mbona mfumo wa NACTE hufunguki?

    Karibia wiki nataka nimtumie mdogo wangu maombi ya chuo cha afya kupitia nacte lakini system haifunguki. Kila nikiingia inaandika error. Tatizo nini kwa wenye ufahamu.
  15. JamiiForums Tanzania Wacheni wengine tufe. Mbona mnatulazimisha kuchanjwa wote?

    Ukimwi unaua, Malaria inaua, tb inaua. Hivi vinaua mamia kila mwaka. Hamtulazimishi kuvaa condom, kuchanjwa kama kuna chanjo, kutumia chandarua... Ila hapa tu ndo wazungu mnatulazimisha.kwa nini? Kwa kweli nmekosa nimjibu nini huyu jamaa fala kabisa. Hataki kuchanjwa na wakati namwona mwilini...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

    Au sisi wengine ni washamba jamani? --- Rais wa USA, Joe Biden akichomwa chanjo === Wizara ya Afya watoa ufafanuzi kuhusu hoja hii, soma hapa chini: -...
  17. JamiiForums Tanzania Suala la Mbowe nilifikiri mtaani kutachimbika ila naona watu wamesusa

    Habar zenu ndugu, jamaa na marafiki mliopo humu.. Ndugu zangu baada ya kupokea taarifa ya kukamatwa kwa mwenyekigoda wa chama fulani, wengi wetu tulijua sasa kutachimbika. Mfano mimi binafsi nilijua viongozi wa chama chake wangewaongoza wafuasi wao nchi nzima wafanye mgomo wa kula, kunywa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama mikosanyiko ni haramu, mbona viongozi wa CCM hawakamatwi?

    Wasalaam. Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo watanzania wenzenu na kuwabambika kesi, haya ni mambo ya kijinga ipo cku mtaleta machafuko nchi hii.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
  20. JamiiForums Tanzania Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

    Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena Somo la historia ya Tanzania lasitishwa Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote. Source ITV news ============== Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…