mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbona Sura za wana Yanga SC zimekosa Ushirikiano Jioni hii na Usiku huu kama vile Wamesingiziwa Kesi?

    Hakika Mwarabu ni Mtu mbaya sana.
  2. JamiiForums Tanzania Huyu mzee ni Mtanzania? Mbona huwa anatrend sana?

  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba mbona kwenye kurasa zenu rasmi siku hizi mmezisusa?

    Aisee nimeshangaa kundi kubwa la watu walioshangilia timu yao kutolewa na Wydad kwa mbinde na kusema hawadai, wamekufa kiume cha ajabu zile kauli hazihakisi nyuso zao zilizovyo kwasasa. Admin wa Simba anajitahidi sana kupost taarifa, matukio, kumbukumbu, n.k kwenye page rasmi ya Simba lakini cha...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

    Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya! Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta. Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

    Mpaka sasa si WAALIMU, MATABIBU wala MAAFISA WA JESHI waliopokea mishahara yao ya mwezi Mei 2023. Hazina ya serikali inahitaji wastani wa bilioni zaidi ya mia sita kila mwezi kwa mishahara ya watumishi wa umma na nyingine zaidi ya bilioni 8 bilioni kwa malipo ya pensheni. Watalaam mbalimbali...
  6. JamiiForums Tanzania Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

    Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu. Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi. 1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume...
  7. JamiiForums Tanzania Sad truth watu hujiandaa kwa mambo yajayo, mbona hamuandai misiba yenu?

    Binadamu kila ahsubuhi huwaza jinsi ya kuifanya future yake kuwa poa Hujua kuna mambo ya lazima kabisa yatamtokea mf. njaa, kuumwa au kuokota mchumba barabarani n.k Hujiandaa kwa kutembea na kinga, kuwa na bima na pesa ya kula Lakini kifo kipo mbele yetu na tunajua ni lazima kije kwanini...
  8. JamiiForums Tanzania Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu. Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

    Wakuuu za sahizi, Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB...
  10. JamiiForums Tanzania Ndege ya ATCL iliyokamatwa uholanzi mbona hatuambiwi chochote; au ndiyo basi tena?

    Huku nyuma awamu ya 5 kila jaribio la wale nawaita wahuni kushika ndege za ATCL ili kulipwa madeni ya mchongo na Tanzania yamekua yanashindwa na ndege zimekua zinaachiwa baada ya muda mfupi. Wakati wa awamu ya 5 tuliona pale jaribio la kushika ndege ya ATCL kule afrika ya kusini liliposhindwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbona hatusikii watoto wa Lawi Sijaona Ngwanda wakipewa madaraka kama Nape, January na Ridhiwani Kikwete? Mbona hivi?

    WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani. Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa. Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu alipigiania uhuru wa taifa letu. Mbona hatusikii juu ya uzao wake kurithishwa madaraka. N.b Nape hana...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

    Kuna habari gani?
  13. JamiiForums Tanzania Nipo Rwanda, hao Wanawake mnaowasifia kwa uzuri mbona siwaoni?

    Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni? Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika. Pumbavuuu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dondosha ''MBONA'' yako nyingine hapa mdau👇😂😂

    (1) Mbona Taifa Stars haichezi na Yanga?😂 (2) Mbona Bocco amefungia kichwa na ni mpira wa miguu😂 (3) Mbona refa hawampi pasi na amevaa njumu😂 (4) Mbona mchezaji akifunga golini kwake wanashangilia timu pinzani😂 (5) Mbona kocha haingii kusaidia team yake na yeye ndo anajua kuliko wao😂
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Japan wameturuka?

    Waziri Mkuu wa Japan atatembela Egypt, Ghana, Kenya na kuturuka na kwenda Mozambique Kulikoni Mozambique, yaani sisi tunaona karuka mkojo na kukanyaga. Au ni kinyume chake. ========= Prime Minister Fumio Kishida’s one-week diplomatic tour of Africa — his first trip to the continent since...
  16. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

    Shida ni nini? Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa, Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu! Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro...
  18. JamiiForums Tanzania Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    1. Kukata kucha siku ya Alhamisi. 2. Kutokula kwa kutumia kijiko. 3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti. 4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu. 5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini. 6...
  19. JamiiForums Tanzania Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hizi bilioni Kumi za vikundi mbona hakuna kikundi kijijini kinachodaiwa? Waliolipwa ni wakina nani?

    Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha. Zilichukuliwa zikapelekwa kwenye matawi ya CCM wakagawana. Hii NI mara ya pili zoezi kama ili linafanyika, yalitolewaga mabilioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…