mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO: EWURA mmetangaza kuwa bei ya Mafuta ya petroli na dizeli imeshuka, JE LATRA nao mbona hawatutangazii bei mpya za nauli?

    Moja kwa moja kwenye kero yangu: Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam . Bei mpya Petroli: Sh 3,990 kwa lita Dizeli: Sh 4,182 kwa lita mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
  3. JamiiForums Tanzania Halotel mbona siwaelewi?

    Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi? Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli... Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
  4. JamiiForums Tanzania KERO Vodacom tatueni changamoto ya kimtandao mbona mnatutesa?

    Ndugu zangu kwema? Hivi na nyie mnapata changamoto ya kimtandao hususani kwa watumiaji wa Vodacom kama mimi? Ukituma meseji haziendi, ukijaribu kupiga simu muda mwingine simu inabaki kwenye connecting mode tu hata kwa dakika mbili bila hata kuita. Ukijaribu kutumia M-Pesa Menu ya kawaida...
  5. JamiiForums Tanzania Mbona makasiriko mengi! Mkiongeza makasiriko nawakera zaidi, MMU

    Hapa makasiriko ni mengi sana sijui Tatizo nini 1. Ni maisha magumu ? 2. ARVs 3. Mitaji kukosa 4. Kukimbiwa na mademu au Tatizo ninii? Au njaaa ? Mtu unakuwa idle Kidogo Unasema ngoja nifanye kutoa ka story fulan ni shee na wenzangu 😀 Hujamaliza hata story unasikia weka passport na muhuri...
  6. JamiiForums Tanzania Damu ya bikra ina nini mbona haifutikagi kwenye shuka

    Kwa ambao hamjawahi kupata bahati ya kumtoa mwanamke usichana wake nakupa hii fact ile damu ikidondokea kwenye shuka hata ufue vipi na jik lile alama halitoki ila sababu sijui mpaka leo atleast nilibahatishaga mmoja maria wangu 2015.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Magari ya Umeme Mbona Bado Haujashuka?

    Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwani wakiwa CHADEMA huwa wanapewa nini kinachowafanya wawe timamu, mbona wakienda CCM wanaonekana kama hamnazo?

    Wakuu, nimeshudia watu wengi walipokuwa CHADEMA walikuwa wanaonekana kama wako timamu, ubongo unachaji, wakiongea wanatoa madini, wanakupa kitu cha kukufanya ufikiri ila hao hao wakihama wanaongea kama wamekatwa vichwa, utumbo tu kama akili hamna. Kwani wakiwa CHADEMA huwa wanapewa nini ili nao...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mbona hao viongozi fake hawatupi uthibitisho wa watu kulipwa fedha, kuvunja amani, kukutwa na silaha

    Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu. Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili kuandamana, wana taarifa za waandamanaji kuzua vurugu na kuchoma vitu. Lakini hawaweki huo udhibitisho...
  10. JamiiForums Tanzania Turudi nyuma huyu Okello inaonyesha Historia ya Africa mashariki mbona ina mkwepa

    Ili swala lipo uganda,lipo kenya na visiwani na sijajua tanzania. Ila mimi sio muelezaji mzuri kuandika ila naleta mafail ambayo tuanze kuulizana kwanza. Ina wezekana kuna nguvu kubwa ambayo hata walifikisha haya walifutwa nchi hizi zote tatu Africa mashariki na kwa nini waliuungana kwa uwoga
  11. JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaofanana na mindset yangu mbona ngumu kuwapata? Je, anapatikana vipi?

    Mindset yangu ni, Kufocus na biashara, Nidhamu ya pesa, Kuwekeza, Kutunza pesa kabla ya matumizi, Kutokata tamaa, Malengo ya muda mrefu, Kuzingatia bajeti, Kujenga vyanzo zaidi ya kimoja vya mapato, .. Kujenga mtandao wa watu wenye hizo mindset, Changamoto ni moja ni kua watu wa jinsi hiyo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kalenda za picha ya mama hazipo mitaani na anakubalika 97%

    Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli, Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana. Inavyoonekana sijui ni nani...
  13. JamiiForums Tanzania Mnakataje gogo kwenye Vyoo vya kukaa? Mbona mjeredi unagusa Sink

    Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana. Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui cha kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huyu si Mwandambo Clemence, mbona kakengeuka! Jela imemkegeula au alikuwa "agent". Kumbe ni minyama tu!

    Huyu si alikuwa mtetezi wa haki za binadamu! Jela imemnyioosha. Kumbe likuwa ni minyama tu, kichwani ni funza! Labda ni AI😳😳😳
  15. JamiiForums Tanzania Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

    Nianze kwa habari hii, kuna mama mmoja alikuwa pale TRA tawi la Kinondoni,alikuwa mama poa sana,ukienda pale kufanya makadirio huwa anakupa ushirikiano mzur sana na mwisho wa siku mambo yanakuwa sawa. Kama Miaka miwili au mitatu iliyopita nilimtafuta kwenye call kutaka kumuuliza jambo...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Ebola Facility Ni Salama, Mbona Marekani Haitaki Kuijenga Nyumbani?

    Mjadala kuhusu mpango wa kujenga Ebola quarantine facility nchini Kenya unaendelea kushika kasi huku Wakenya wengi wakijiuliza swali moja kuu: Kama facility hii ni salama, kwa nini Marekani isiijenge kwao? Maafisa wa Marekani wanasema kuwa kuweka kituo hicho Kenya kutasaidia Americans...
  17. JamiiForums Tanzania Riverside mbona pa kishamba mno? Wafuasi wa R Side mna shida

    Hali zenu wafuasi wa hili jukwaa la MMU... kama kawaida yangu, nimetenga miezi hii mitatu nifanye research kuzunguka kumbi baadhi za starehe na zile ambazo kuna dada poa wanaojiuza. Ile barabara ya Mandela road nimepita mno ila sikuwahi kufika pale R Side in particular... Nimesikia mengi mno...
  18. JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbona nyie ambao hamnywi mnamaisha magumu kama sisi tunaogida kila siku?

    Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama. Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea. Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa serikali baad ya wiki tu mshahara kutoka mnakua hoi bin taaban.
  20. JamiiForums Tanzania Kulikoni ziara ya Rio Ferdinand, mbona Naibu Waziri hajaonekana?

    Yu wapi naibu waziri wa michezo, ndugu Mwana Fa kutokuonekana kwenye ziara ya legend wa soka Rio Ferdinand?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…