mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya ku assemble gari kama madau alivyoeleza hapo chini, nahitaji kwa ufafanuzi zaidi kwa anayejua hiyo mbinu👇

    Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ujuzi na mbinu miaka ya nyuma kukwepa polisi

    Miaka ya (1920-1933) huko nchini marekani wauzaji na wasambazaji wa pombe haramu waligundua njia za kuwa kwepa polisi kila wanapoelekea kusambaza pombe. Njia hiyo walitumia kuweka nyao za ng'ombe kwenye viatu ili kuwapoteza polisi kujua sehemu inapotokea pombe na kuelekea. UJUZI.
  3. Zurie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hello hello.. I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi) Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati...
  4. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maoni: Mbinu ya Ushindi kwa Simba SC Leo 29.03.2024 dhidi ya Al Ahly

    Shalom, Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo. 1. Umakini kwa dakika zote 2. Kucheza kwa speed dakika zote 3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly. 4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote. 5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
  7. excel

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali zitumiwazo na wezi wa Magari na namna ya kuzizuia

    1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha vifaa viwili ambavyo ni "relay transmitter" na "amplifier", hivyo wanatumia vifaa hivi kuidanganya gari...
  8. Kang

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  9. Shining Light

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za Nywila Ndefu na Mbinu za Kuzingatia

    Katika pita pita zangu nimekutana na kitu kinacho ongelea ulimwengu wa usalama wa simu za mkononi, kundi la watafiti lilianza kuelewa jinsi watu wanavyochagua nywila zao. Walitaka kuona ikiwa nywila ndefu zilikuwa bora kila wakati. Kwa mshangao wao, waligundua kuwa nywila ndefu haikuwa daima...
  10. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  11. African Geek

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani zinatumika kutega abiria wa taxi mtandaoni (Bolt, Uber, Faras)?

    Wakuu, habari za muda huu. Ningeomba kujuzwa na wataalamu wa hizi kazi za taxi mtandaoni, namna gani ya kupata abiria wengi. Mimi ni mgeni kwenye hizi kazi na ningependa kupata walau abiria 10 kwa siku. Je, nifanye kazi muda gani, siku gani na maeneo gani ili niweze kunasa abiria kwa urahisi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi, Mbinu zipi hutumika kuiba kura?

    Salaam, Shalom! Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, ni vyema tukazizua Mbinu waovu ambazo huzitumia kuiba kura. Unapokaribia uchaguzi, kuna viongozi...
  13. ngilo one

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

    Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa...
  14. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa historia ya Mgombea wakati wa Uchaguzi na mbinu za kuepuka kupotoshwa

    Wakati wa uchaguzi, baadhi ya watu hutengeneza taarifa za uongo au kuficha ukweli kuhusu historia ya mgombea fulani ili kuathiri taswira yake kwa umma. Taarifa hizo zinaweza kuwa mwaka wa kuzaliwa, historia ya uraia wake, au elimu yake. Mathalani, mtu au kundi la watu linaweza kusambaza taarifa...
  15. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za ku-save: Unaweza kurudi na posho za kazi za field nyumbani?

    Introduction Haya matokeo ya Mpira yameniuma balaa. Liverpool kapigwa. Yanga holaaaaa. Tuachane na hilo, turudi kwenye mada. Scenario Ngoja niongee kwa mifano halisi ili uweze kunielewa. Mimi kwa mwaka huu tu nimepata kazi nyingi sanaa za field ila jana niliangalia account nakuta kuna 500k na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth ilivyobadili mbinu kupambana na US,UK na France na huku Hamas wakiua komando mkubwa wa Israel

    Kuanzia majuzi wanamgambo wa Houth wameanza kuzipa onyo meli zinazokatiza maeneo yao kabla ya kuzirushia makomboa. Wakitumia meli yao ya wanamaji wiki iliyopita walimuonya kapteni wa meli ya True Confidence kwamba alikuwa akikatisha njia ambayo si salama kwake. Kwa mara nyengine akaelekezwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupambana na uraibu wa energy drink

    Asalaam Aleikum, Ukweli ni kwamba wengi wetu siku hizi tulitokea kuvipenda sana vinywaji hivi vya energy drinks. Viko vingi na kila mtu ana brand yake anayeipenda, mimi binafsi Azam Energy ilinichanganya sana, But before I used to love Red Bull nadhani hata hizi local brand hazikuwepo pia...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa simu wamekuja na mbinu mpya

    Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000. Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo. Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa. Line yangu ni ya TIGO. HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO...
  20. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa kiume mnaosumbuka kupata mabinti, Nawapa mbinu rahisi zaidi ambayo niliitumia enzi zangu,

    MUHIMU: Mbinu hii haitumiki kwa magurumbembe na gold diggers, ni kutwanga maji kwenye kinu. BE HER DADDY, MFANYE AKUONE WEWE NI KAMA BABA YAKE, Niseme tu ya kwamba ukiweza kuwa yule mtu anaeona anaendana ama kumzidi baba yake alivyo kwa vitu positive basi ni rahisi sana kumpata. ndio maana...
Back
Top Bottom