mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Matume ya Rojo zimeshindikana

    Mbinu za Matume ya Rojo zimeshindikana. Tume kibao halafu zikija zinawekwa kwanye makabati!. Pesa za watanzania zinatumika kutengeneza tume fake za rojo kusafisha wauaji, watekaji na wala rushwa wakubwa. Mbinu hizi hazitafanikiwa. Tupinge hizi tume ambazo hata ripoti zake hatuzioni.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mbinu mpya kutoka hapa tulipo, CCM siyo watu

    Nilitegemea kwa hali ya sasa watawala wangelionesha signs za remorse kwa yliyotokea 29/10. Na kutaka kuliondoa taifa kwenye giza hili. Hilo halipo... Kwa sasa unaona kabisa kuwa wanatamani Gen Z woooooooooooooooote /watanganyika woooooooooooooooooote wauawe wabaki na wazanzibar may be na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni, Mawakala na wateja kuweni makini, wezi wanabuni mbinu mpya kila siku

    Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana. Usikubali...
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Dr. Nchimbi (VP): Ni aidha Kuna mgogoro ndani ya serikali na CCM au mbinu ya CCM ya "jifanye uko nao, then strike hard"

    Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali.... Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

    Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa. Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena. Wakawarubuni baadhi ya viongozi kuanzisha/kuhamia ACT/CHAUMA, kina Zitto, Mwalimu, leo wanatamani kurudi. Wamemtumia msajili wa vyama...
  6. JamiiForums Tanzania Siri ya Chupa ya golikipa wa Uingereza yafichuka, ilikuwa na mbinu za kuzuia penalti za wachezaji wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 . Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
  7. K

    JamiiForums Tanzania MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

    Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote): "Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hizo account kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumuachisha kucheza e Football kijana huyu, linamlaza saa 10 alfajiri

    Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala saa 10 alfajiri hivyo analazimika kuamka saa 7 mchana. Nimeshaongea mno mpaka nimekata tamaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  10. JamiiForums Tanzania Wameanza kushituka mbinu ya Putin kuwa muda mrefu vitani, Bulgaria yasitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine

    Waziri Mkuu wa Bulgaria, Rumen Radev, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Mkutano wa Kilele wa NATO huko Ankara, Uturuki, mnamo Julai 8, 2026. Alieleza kuwa Bulgaria haiwezi tena kuipatia Ukraine silaha na zana za kijeshi. Haya ni kwa mujibu wa Waziri Mkuu Rumen Radev, ambaye...
  11. JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

    Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania. Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  13. JamiiForums Tanzania Ambao tunaweza kuunga bao tatu tukutane tupeane mbinu za kufikisha nne

    Heshima ya mwanaume ni kuweza kumudu kuhudumia familia. Watoto na mke wale, watibiwe na kupata stahiki zingine kwa wakati. Pia heshima ya mwanaume ni kumt.... MBA mke au MICHEPUKO mpaka aseme tayari inatosha. Hakuna raha kama kuweza kupiga show kwa ufasaha. Mwanamke ukiweza kumpa mahitaji yake...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisasa ya kupumbaza umma kisiasa—sura ya nje dhidi ya ukweli halisi nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan kumfariji mchezaji wa Young Africans SC, Pacôme Zouzoua, ni mfano halisi Aga Khan Hospital. Kwa mtazamaji...
  15. JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme nchi nzima ni mbinu ya kupooza maandamano ya July 7

    Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania How wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu

    Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃)...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama Kuna mbinu za kukwepa kifo Cha mapema

    Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini. Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi. Je? Kuishi ni bahati TU. Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk. Kwanini Bado naishi?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

    Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu. Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
  19. JamiiForums Tanzania Psychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao

    Psychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao. Watu hupenda kuhisi: • Wameeleweka • Wamesikilizwa • Na wana control Ukijifunza kuelewa body language, silence, emotions, na communication patterns, utaanza kuelewa watu kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Revealed: Mbinu Mpya ya Kushinda Uchaguzi Tanzania.. Must read

    Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania.. Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕ KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA Hatua ya kwanza: Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi. Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…