mbinguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maneno huumba? Kauli ya channel ya vichekesho mbinguni. Je wachekeshaji na wafanya vituko kutaka kujazana bungeni ndio mwanzo wa taifa la vituko?

    Hamjambo Wote! Kuna msemo na Imani kuwa kauli na maneno ya mara kwa mara huumba. Kisaikolojia ni kweli. Kujitamkia au kutamkiwa maneno yaleyale mara kwa mara huyafanya yatokee. Na kuwa kweli. Kwa sababu maneno huathiri mfumo wa ufahamu, kufikiri, na hatimaye mtazamo. Je watu kusema taifa kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbinguni Hakuna mpira, Okoka Ndugu achana na Mambo ya Dunia ni ya Kupita - Mpira ni kwa watu wanaowaza ya Dunia waliopotea

    Mbinguni hakuna mpira! Ndugu yangu, natamani leo ujifungue macho. Mambo haya ya dunia ni ya kupita — ni kivuli tu kisicho na maana ya milele. Mpira, starehe, burudani… haya yote ni mtego wa shetani kuwapumbaza watu wasimtafute Mungu. Ndugu, leo nakusihi — achana na mpira! Badala ya kutumia...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

    Jina: Josephat Mathias Gwajima Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970 Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza Uraia: Mtanzania Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima Watoto: Watatu Lugha: Kiswahili, Kiingereza Elimu 1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo? Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni? Kumekuwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Jasusi la Mbinguni Gwajima alionekana kwenye video ya waumini wake waliosali barabarani?

    Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.
  7. JamiiForums Tanzania Hata baada ya hili sakata la "hatuchezi tunacheza" tusitarajie jipya la maana labda kama hiyo bodi itatoka mbinguni

    Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo. Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa pointi patachimbika ni nini litaleta utofauti huko siku za usoni iwapo moja ya timu hizi itafikia kupewa...
  8. JamiiForums Tanzania Picha ya Siku: Jasusi la Mbinguni

    Ipe caption
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na kichwa cha habari hiki, Jasusi la mbinguni lamkimbia mama

    Habari yenyewe inaanza kwa kusomeka hivi:- "Ktk hali isiyokuwa ya kawaida, jasusi toka mbinguni lamkimbia mama. Ni maajabu na kweli, lkn yametokea. Jasusi toka peponi laufyata kwa mwanamke. Japo jasusi liliahidi kuchafua hali ya hewa mpk moshi utoke endapo watekaji wataendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

    Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025. Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
  11. JamiiForums Tanzania Gwaji boy: Jasusi la mbinguni ni mtu mwenye Kujiamini sana

    Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha. Ni chuma kilichomdhibiti Dr. Slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na...
  12. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Jiji la Mbinguni lilivyo

    Henoko hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa mtu wa Mungu, aliyenena na kuenenda kwa haki katika kizazi kilichozama kwenye giza la dhambi. Lakini kinachovutia zaidi si maisha yake duniani, bali safari yake ya ajabu ya kupaa hadi mbinguni safari ambayo haikuwahi kusimuliwa na mwanadamu mwingine kabla...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Habari wadau. Naombeni msaada wa majibu. Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao. Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

    Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli. Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi. Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
  17. JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbinguni kuna makao mangapi

    Mbinguni kuna makao mangapi Wakati Bwana Yesu alipokaribia kuondoka duniani, alisema: Yohana 14:1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. 3 Basi mimi nikienda na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Wasabato walijuaje ratiba za mbinguni hadi kudai Yesu alihamia chumba kingine hekaluni mbinguni 22, 10, 1844?!?

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…