Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku!
Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo juu na mengine yafananayo na hayo kwa kilimo cha mpunga hapa tz, napenda kufahamu kutoka kwa wadau...