mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Uchakavu wa noti za fedha yetu Watanzania

    Wakuu habari? Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
  2. Kambi za wakimbizi zilizopo kigoma mpaka leo mbona nchi hizo mbili hakuna vita

    Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna. Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu...
  3. Movies mbili zenye visa vitamu

    BEFORE I GO TO SLEEP. Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua. Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani. Anaenda bafuni, humo anakutana na picha kadhaa ukutani, picha akiwa pamoja na bwana yule alomwacha...
  4. J

    Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

    Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
  5. R

    Sura mbili za Bashiru Ally Kabla na baada ya madaraka

    Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu! Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka https://x.com/i/status/1793231455981805944 na baada ya kuwa na madaraka https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
  6. Tanzania tunadaiwa zaidi ya Pound million mbili na jiji la London UK

    Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo hatujazilipa.
  7. Samia atikisa dunia akiwa Paris, akusanya zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya nishati salama

    Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama. Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania. Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
  8. Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

    ...
  9. Waitara: Ni sahihi kukusanya kodi ya Serikali kwa njia ya kumwaga damu? (Bungeni Mei 15, 2024)

    https://www.youtube.com/watch?v=Z5YgPiauF-U Hoja Za Serikali: Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025. WAITARA: NI SAHIHI KUKUSANYA KODI YA SERIKALI KWA NJIA YA KUMWAGA DAMU? Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akielezea...
  10. Sababu kuu mbili zinazoweza kumfanya mwanaume asimsaliti mkewe

    Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80% Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao. Ila ukimuona mwanaume ambaye hacheat kwa mke/ mpenzi wake jua zipo sababu mbili kuu ambazo zinamfanya asiwe na mchepuko. 1...
  11. Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  12. Umejifunza nini kuhusu hizi nyumba mbili kati ya Malisa na Tulia?

    Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa . Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
  13. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  14. Kama kuna mtu aliingia gest akafanya hivi nawaza mara mbili mbili IQ yake inawaza nini

    Ni kitendo cha kiwango cha ki mauaji Si kila mtu anaweza kawaza haraka haraka hili. Yaani hapa ataitwa meneja au polisi au mjumbe. Sio jambo dogo. Sasa watakuwa wamekuudhi au unawachezea tu??
  15. Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. MADA Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
  16. PreGE2025 LGE2024 Mbunge Angelina Malembeka: Serikali iongeze posho kwa askari na maafisa kipindi cha uchaguzi (Zanzibar wanafanya chaguzi mbili)

    "Kuna mpango gani wa kuongeza posho kwa Askari na Maafisa Waandamizi wa uchaguzi" - Mhe. Angelina Adam Malembeka, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kaskazini Unguja "Wakati wa uchaguzi wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwa ngazi ya Jimbo na Kata hulipwa posho za kujikimu...
  17. J

    Phone4Sale Nokia 105 tochi elfu 28

    Nauza simu Nokia 105 mpya Zipo kwenye box kuna rangi nyeusi, bluu na pink Zinaingia line mbili Karibuni sana Mawasiliano 0717 592 165
  18. Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael. Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…