mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Wadau tajeni Nyuzi zilizowahi kufa na kufufuka zaidi ya mara mbili

    Wakuu
  2. Pande mbili: Yaani Serikali na CHADEMA, vitafakari Kwa makini, athari zitazotokea, iwapo maandamano hayo yaliyoandaliwa na CHADEMA yatafanyika

    Hadi sasa inaelekea Kuna mvutano mkubwa Kati ya serikali na CHADEMA, kuhusu maandamano ya amani, yaliyopangwa na CHADEMA tarehe 23 mwezi huu, kama serikali itakuwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao na haitaeleza walipo viongozi wao wa vijana, akina Deusdedit Soka na...
  3. Ndoto mbili za kweli (ndoto za kichawi) - unashauriwa kufanya sana ibada

    💼MHADHARA WA 7 Wakati mwingine ndoto tunazoota usiku wakati wa kulala zinatokana na uchovu, mawazo, n.k. Lakini ndoto zifuatazo zinakuwa ni ndoto zinazoeleza matokeo ya kweli yanayotarajia kukutokea baadae. 1. NDOTO YA KWANZA Kuota mara kwa mara umekufa. Au kama umeoa/umeolewa unaota mara mwa...
  4. Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nafasi zilizopo 11,000/= Walioomba. 200,000/= Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18. Interview ya Kwanza Written. Washiriki 200,000 Nafasi zinazogombewa 44,000 Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne. Interview ya Oral. Washiriki 44000 Nafasi zinazogombewa...
  5. Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

    Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga. Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa. Moja haisomi Mbili haikai. Sasa...
  6. Je, inawezekana lugha moja kujirudia mara mbili?

    Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo. swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan? Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo...
  7. Huku mtaani kuuliza tu nachajiwa elfu mbili dah

    "kijana unatakiwa ufuate utaratibu wa mtaa wetu Kikubwa unaulizia ishu za michongo ya pesa lipia elfu mbili" (Nahisi jamaa alikua anapiga fegi) Nilikua nauliza kama naweza pata fremu mtaa fulani hivi, kiukweli bado hakuna madalali ni unaonana tu na mmiliki lakini jamaa hawakupi connection adi...
  8. J

    Ten Hag ana mechi mbili tu Man United

    Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua chake. Man United ambayo kwa sasa inashika nafasi ya 14, katika mechi tatu za mwanzo za EPL imeshinda moja na kupoteza...
  9. Tazama magoli katika video hizi mbili kisha eleza umegundua nini?

    Ukitazama kwa makini utagundua hawakukosea kumuita 'Think tank'
  10. Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
  11. P

    Wakili Madeleka: Tuna ushahidi unaojaa fuso mbili polisi kuhusika kumkamata Soka

    Maamuzi ya Jaji Wilson Nyansobera yanasubiriwa kutolewa muda sio mrefu kutoka hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam juu ya shauri lililoletwa mahakamani na Deusdedith Soka, Jackob Godwin Mlay na Frank Mbise wakiwakilishwa na mawakili Peter Madeleka, Paul Kisabo na Deogratius...
  12. Zile Milioni 50 za goli la mama unajenga nyumba mbili za walimu 2 in one

    Ndio hivyo, Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha.. Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi, Wanunue chakula, Wapate nauli ya kwenda kazini, N.k Wakati kuna milioni nyingi tu...
  13. Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  14. J

    Meli mbili za ufilipino na china zagongana Manila watajwa kuhusika

    Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China. Kulingana na vyombo vya habari vya Serikali ya Beijing, China inaishutumu Manila kwa kusababisha ajali hiyo kwa makusudi. Msemaji wa...
  15. ANGALIZO kwa mliofurumushwa katika Wizara zenu Wiki Tatu Mbili hizi

    Tafadhali hatutaki sasa Kuwaona mkiwa Bungeni hadi pale Kijiwe Majungu chenu Mbezi Beach ( eneo nalihifadhi ) mnaanza kumpiga Majungu Mtu ambaye Kutwa mlikuwa mnamsifu na kumpamba kwa Nguvu zenu zote mlipokuwa Madarakani sawa? Na nasikia Gwiji lingine litaondoka mwisho wa mwaka au mapema sana...
  16. Sikumwamini kabla na kwa mechi mbili tu kupitia wachezaji wote waliokuwepo kabla nasibitisha Fadlu David anaua uwezo wa wachezaji Simba

    Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana. imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo. Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
  17. Tunawakosesha fursa wazawa kwa kuwekeza nguvu kwenye timu mbili za Kariakoo tu.

    Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo. Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
  18. Upi utofauti wa hawa mamba wawili?

  19. Ipi ni njano kati ya hizo jezi mbili?

  20. Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…