Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.
Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja.
Akasema kuwa hali...
Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu.
Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba.
Kwa...
Barabara ya Mbezi Msumi kutoka Mbezi mpaka njiapanda ya mbopo na Msumi imeharibika sana, daraja toka lilipo bomoka mwaka 2023 January tukaambiwa litatengenezwa ujenzi wa barabara utakapoanza mwezi wa tatu 2023 lakini hakuna kilichofanyika,
Tukaahidiwa ujenzi kuanza mwezi wa nane lakini pia...
Habari wakuu,
Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani?
*Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo.
PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi .
Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
Habari .
Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu.
Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu yoyote ya msingi inayotolewa nini chanzo cha tatizo hilo .
Tuliambiwa kutakuwa na siku mbili za kupata...
Wakuu,
Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli.
Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
jeshi
jeshi la polisi
katika
kero
kero ya usafiri
kituo
mbezimbezi mwisho
mkoa
mkurugenzi
mkuu
mkuu wa mkoa
mwisho
ofisi
polisi
ubungo
usafiri
wilaya
wilaya ya ubungo
wito
Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis
Njia ya kwenda Goba
Eneo lina SQM 400 (20×20)
Nyumba ina umeme na maji
Nyumba ina vyumba vinne.
Finishing haijakamilika vizuri.
Dakika 10 tuu mpaka barabarani
Inahitajika milioni 36 tu...🔥
☎️ +255 783755971
Karibuni sana
Wakubwa natarajia kuhamia huko soon.
Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale
Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu
Sket imebak moja 2000 tu
Vitop vishat 1500 tu
Karibuni sana wasap or call 0625056158
PLOT FOR SALE MBWENI
Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa
Iko Mbweni mpiji inagusa lami
Ni sqm 1000
📌🗒Ina Hati safi kabisa
📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo
📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo
NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
beach
beach plot
bunju
for sale
ghorofa
house for sale
kigamboni
kigamboni housegosale
kisasa
madale
magufuli
mbezimbezi beach
mbweni
nyumba
nyumba ya ghorofa
plot
plot for sale
plots
sale
university
upanga
viwanja goba
Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe
Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?
Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na...
Jeshi la Polisi
Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu.
Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesema kuwa wameuchukua na wataufanyia kazi ushauri wa mdau wa Jamiiforums. com kuhusu umuhimu wa kuweka njia ya juu (Fly over) eneo la Bondeni - Mbezi Tangibovu ili kuboresha zaidi miundombinu.
Hayo yameelezwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS...