mbeya

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gari ya katibu mwenezi CCM Mbeya lachomwa moto

    Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama. Mng'ong'o...
  2. N

    JamiiForums Tanzania YAS yazindua huduma ya Matibabu ya Macho bure kwa Wakazi wa Mbeya

    Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Mpango huu...
  3. JamiiForums Tanzania Kiwanja Mbeya Mjini.

    Habari za Pasaka wanajukwaa, SIjawahi kuona kiwanja cha 5M au chini ya 10M kinauzwa Maeneo ya mbeya mjini. Kila siku naona vya 40M tu na kuendelea. Kama kuna kiwanja chenye bei hiyo niliyoitaja mbeya CBD tujuzane wakuu, maana vipato vinatofautiana NB. 1. Kuwe na barabara inafika. 2. Kama ni...
  4. JamiiForums Tanzania Samaki aina ya Mbasa wanauzwa Mbeya mjini.

    Samaki aina ya Mvasa wanauzwa Mbeya mjini. Bei inategemeana na ukubwa wa samaki, kuanzia 15,000/= hadi 45,000/= wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Ituha Mbeya.

    Nyumba inauzwa Ituha Mbeya/ House for sale at Ituha Mbeya Tshs. 40m. Mazungumzo yapo. Ina vyumba 4 vya kulala, self contained. Wasiliana nasi:+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  8. JamiiForums Tanzania RC Mbeya aagiza kukamatwa wafugaji wote waliolisha mifugo mazao ya Mwananchi, asema mama anunuliwe chakula mwaka mzima

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbarali kuwakamata wafugaji wote wanaodaiwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima na kuharibu mazao. Dkt. Homera alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Chimala, ikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa upimaji wa ardhi unatarajiwa kuwezesha uboreshaji wa jiji la Mbeya kuwa la kisasa

    Serikali ya Mkoa wa Mbeya imeanza kutekeleza Mpango Maalumu wa upimaji maeneo ya Shirika la Utangazaji Tanzania TBC lililopo katika jiji la Mbeya, Utengule na Nsalala yaliyopo halmashauri ya wilaya ya Mbeya Vijijini kwa ajili ya Ujenzi wa Miji ya kisasa. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi...
  10. JamiiForums Tanzania RC Chalamila kuwalipia nauli wana Dar Es Salaam 200 kushiriki betika Mbeya Tulia Marathon

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 - 10, 2025 Jijini Mbeya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uitaji wa Vifaa vya saloon ya kike mbeya

    Habari Wana jf naitaji mtu au Duka wanalo uza vifaa vya saloon ya kike mbeya kwa bei nafuu kabisa, asante
  12. JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  13. JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

    Wakuu kwema! Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano Mchele Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100 Rejareja 2700 tsh Maharage Jumla 3000tsh kuazia kilo 100 Rejareja ni 3400 tsh Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa) Nakuletea popote...
  15. JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

    Habari! kama una ndugu au ni wewe mwenyewe na unashahada ya masuala ya fedha..Uhasibu au uchumi unaweza apply kwenye KAZI zifuatazo. 1) managing director - awe na masters ya Finance au masuala ya fedha na uchumi na uzoefu WA kutosha. 2) credit au loan officers - nafasi tano. 3) Teller -...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inashinikiza uchaguzi Wa viongozi wa soka Mbeya?

    MBEYA KUMENOGA HASWAAA Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wajumbe Fake wampitisha Elias Mwanjala kuwa Mwenyekiti MREFA

    Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati Tendaji. Baadae majira ya...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Dhahabu ya Tsh. Bilioni 1.81 imekamatwa ndani ya miaka minne wakati ikitoroshwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tunajivunia mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan katika Nyanja mbalimbali ikiwemo ya rasilimali watu, vifaa na majengo...
  19. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mbeya kesho ni batili, TFF kuweni makini

    Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa serikali, na wadau wengine kuingilia kati ili Haki ipatikane na mkoa uweze kuongozeka. Iko hivi, awali...
  20. JamiiForums Tanzania Ajali zinamaliza Raia: Ninamshauri, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwahamisha Kamanda wa Polisi wa Mikoa ya Geita, Mbeya, na Kilimanjaro

    Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…