mbeya

  1. JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita jijini Mbeya

    Za asubuhi wakuu, huku Mbeya mjini tetemeko limepita yaani sio poa kabisa Hapa usingizi umekata Wataalam mtujuze shida nini
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, agoma kufuta Leseni za Utafiti (PL )Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Chunya, zilizo kwisha muda wake miaka 10 iliyopita

    Waziri wa Madini, tunapozungumzia suala la leseni za utafiti wa madini (PL) katika Mkoa wa Mbeya, hususan Wilaya ya Chunya, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia. Kwanza, ni muhimu kufahamu kwamba kuna leseni zaidi ya 20 ambazo zimeisha muda wake, hazijalipiwa, na zina wachimbaji wadogo waliotengewa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete kwa CCM: Baada ya kukosa pandikizi hata moja kwenye Uongozi Mpya wa Chadema wamuelekeza Msajili Kutengua Viongozi wapya

    Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki ulioshuhudiwa na Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kulihitimisha rasmi siasa...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

    Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X: UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu...
  10. JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: RC Homera na RCO Mbeya, kama mmemdhuru Mdude Nyagali, hakikisheni mnamzaa, kumkuza na kumrudisha nyumbani kwake salama

    https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali... Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya mpooo

    Nipo mtaani kwenyu na mamba yangu mguuni naomba mnikaribishe kwa moyo mkunjufu sana😂💪🏿✌🏿
  12. JamiiForums Tanzania RC wa Mbeya aambiwe, Tunamtaka MDUDE akiwa HAI , aache Janja Janja na Kauli za kihuni zinazoashilia MDUDE Hatopatikana!

    Kila kitu Kiko wazi, RC Mbeya aache kutoa Kauli za kihuni , Et Milion 5 Kwa atakayemleta Mdude akiwa Hai au Amekufa??. Kwa tafasiri ya kawaida, ni Kauli inayoonyesha Mdude hatopatikana . Sasa angalieni Upuuzi, RC badala ajikite kwenye Waliomteka Mdude, CHADEMA imemplekea majina ya wanaohisiwa...
  13. JamiiForums Tanzania HONGERA Mbeya Highlands FM

    Nikitazama tamasha la Samia Kalamu Award, mwandishi na mtandazaji wa Mbeya Highlands FM , ndh Issakwisa Mbyale, amepata tuzo kitaifa. Toka naifahamu Radio hii imekuwa ya mfano kwa mikoa ya Mbeya na mikoa jirani. Nikiwa natoka Mbeya nawapongeza sana Mbeya Highlands FM kwa kuanza kuonyesha...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

    Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali. Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu. Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

    Makamanda Mbeya wamechafukwa: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa sasa inatosha,itabidi tuungane na wana Mbeya kumtafuta Mdude. Masaa 24 hadi tumpate.

    Ndugu zangu Watanzania,naombeni tushirikiane ili tuwe salama ili si jukumu la watu wachache na wala si swala la viongozi wa chadema pekee yao. Tafadhali tunaomba sana tuamke tupambanie haki zetu tukiwa kama nchi huru na wala hatupo utumwani. Tukisimama kwa pamoja tunakuwa salama sana kuliko...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

  18. JamiiForums Tanzania Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
  20. JamiiForums Tanzania Laini za uwakala wa kifedha zinauzwa Mbeya mjini 4 @ Tshs. 100,000/=

    Laini za uwakala wa miala ya kifedha zinauzwa, Mbeya mjini. Hallopesa,Mpesa,Yas,Airtel money. Bei Tshs 400,000/= Bei inazungumzika. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…