mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA songeni mbele kuziba ombwe la uongozi Tanzania

    Lissu endelea hivyo hivyo nimeona wafanyabiashara wamerelax na kujisikia huru zaidi pale Kariakoo. Kero zao zimesikika vizuri sana na wameonesha utulivu mkubwa Lissu alipokuwa anaongea nao. Nimegundua kuwa watanzania wa kada mbalimbali wanakosa viongozi wa kuwasikiliza. Sasa basi CHADEMA...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

    Wanabodi wa jamii forums, Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana. 1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na...
  4. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
  5. JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma, hili lizee la Wagner kuongoza Urusi ingekua majanga kwa dunia

    Japo binafsi nimeshabikia huo uasi, lakini nisingependa hili lizee la Wagner kutwaa uongozi nchi ile, ni hatari sana, ligaidi tena liuaji lisilokua na huruma mithili ya wale magaidi wa dini. Kuongoza nchi yenye silaha za nyuklia zisizopungua 5,000 aisei mbona tungeona shetani kwa macho. Bora...
  6. JamiiForums Tanzania Mbele kwa mbele Wagner waanza safari ya Moscow huku wakishambuliwa kutoka angani

    Ukilea jini kubali iko siku litakugeukia.....haya sasa Russia-Ukraine Live Updates, June 24, 2023: Mutinous Russian mercenary fighters barrelled towards Moscow after seizing a southern city overnight, with Russia’s military firing on them from the air. Facing the first serious challenge to his...
  7. JamiiForums Tanzania Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

    Wadau mimi nilikua nauliza ukisomea combi ya Hgl huko mbele kuna fursa kama zipi?
  8. JamiiForums Tanzania Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

    Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

    Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa. Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na halmashauri zetu kila kona. Mhe. Rais Samia tubinafsishe hata halmashauri zetu maana huko wizi ni...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia asonga mbele na uwekezaji, sasa anayafuta mashirika yote yanayoendeshwa kihasara

    Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria. Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo. Jioneeni wenyewe: Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
  11. JamiiForums Tanzania Camera ya mbele samsung A7-2017 inahitajika

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwenye camera ya mbele samsung A7-2017 pesa mfuko wa shati
  12. D

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia

    Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema: "Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Michael Jackson aliinama mbele digrii 45 mgongo ukiwa umenyooka kwenye ''Smooth Criminal Lean Dance'' bila msaada

    Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima. Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
  14. JamiiForums Tanzania Ungekuwa Mhariri Wa Gazeti Ungeweka kichwa kipi mbele na mwisho?

    Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP) FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi) LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike Tiririka
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa. IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
  16. JamiiForums Tanzania Kumsifia Rais Samia kila usimamapo Mbele yake sio kosa; haikuanza Leo.

    KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa, kumfagilia, kumpepea, na kumpamba ni mambo ambayo yalikuwepo tangu zamani. Wala hatajaanza Kwa hawa Ndugu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

    Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi. Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
  18. JamiiForums Tanzania Waliojifanya "Usalama wa Taifa" Mbele ya DPP Wakutwa na Hatia, Walipa Faini na Kuachiwa Huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Joshua Kamalamo (37) na Yahaya Kapalatu (31) kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Sh3.9 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kujifanya maofisa Usalama wa Taifa (TISS). Akitoa hukumu hiyo leo Mei 30, 2023, Hakimu Mkazi Mkuu, Richard...
  19. JamiiForums Tanzania Sample za milango mizuri ya mbele

    Habari wajenzi? Naomba kuona sample za Milango ya chuma ya mbele.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Je, TRA wameruhusiwa kuajiri wenyewe? Tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 10

    Nimeona tangazo la kazi za TRA. Kwa Sasa inaonekana wataajiri wenyewe bila kupita Utumishi. Je, watoto wa Mamantilie watapita? Nakumbuka enzi za Dkt. Slaa na majina ya watoto wa vigogo BOT. Yajayo yanafurahisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…