mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Ni Mjasiriamali maarufu Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikuwa anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro. Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe
  2. JamiiForums Tanzania Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
  3. JamiiForums Tanzania Mniambie kama si roho mbaya kuvunja Bilicanas, basi ni nini?

    Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo. Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake. Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock. Nimepita hapo leo, ni parking...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Nahodha huyu anaungwa mkono na nani?

    Yule wa kipindi kilee, aliyependa kusafiri kama Vasco da Gama aliungwa mkono na walioitwa wanamtandao. Na yule aliyekuwa akipenda kazi na kuongea kwa kujiamini sana aliungwa mkono na abiria waliouchukia ufisadi. Japo baadaye huyu nahodha alibadilika na kuwa katili asiyeelezeka. Akachukiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini watz wenye uelewa duni wana dhana mbaya dhidi ya watanzania wa kaskazini?

    Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga. Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli? Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

    Kiukweli tarehe Kama hizi maisha huwa magumu sana unakuta hela tu ya mboga. Naomba Serikali ituwahishie mishahara angalau jahazi lisizame.
  8. JamiiForums Tanzania Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

    Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana. Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je, Mbu anaweza kuambukiza UKIMWI endapo mtu akimla/meza kwa bahati mbaya?

    Napenda tuangazie kwa undani juu ya mbu! Mbu ni mdudu mdogo sana anaesumbua miji mingi Africa na sehem ya Ulaya! Pamoja na kwamba mbu anatajwa na watalam wetu kuwa hawezi kuambukiza ukimwi kutokana na vile anavyonyonya damu! Inatajwa kwamba Mbu hususani aina ya Anofeles mwenye mdomo wenye...
  10. JamiiForums Tanzania Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

    Hamna mtu asiye na tabia mbaya, wote tunazo, za kurithi, za kujifunza na za kuiga. Kila mtu anayejijua vyema, huwezi ukawa mwizi halafu usijijue. Huwezi ukawa kicheche halafu useme eti hujui. Sasa hapa tujuane kwa tabia zetu mbaya. Binafsi:- Siwezi kunywa bia mbili halafu niseme nimetosheka...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiwa mnene unakula sana; ukiwa mwembamba una roho mbaya. Dunia inataka nini?

    Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi. Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani? Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

    Kuna video moja fupi inazunguka mitandaoni anaonekana mbunge wa baraza la wawakilishi akiwaongelea kwa dharau samaki wa Ziwa Victoria. Anasema wao kwa maana ya watu wa visiwani hawana utamaduni wa kula samaki wa aina hiyo, kwamba isitokee mbegu zao zikawekwa kwenye bahari iliyo karibu na visiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa mabasi ya mikoa wanasimamisha gari za abiria hotel za bei mbaya?

    Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  15. JamiiForums Tanzania Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

    Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli? Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Biden ataka kuchunguzwa asili ya Covid-19 wakati vyombo vya intelijensia Marekani vikiunga mkono kuwa imetokea China

    Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China. Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo za magojwa ya corona na bahati mbaya wakatengeneza virus na wakatoka pale na kuambukiza watu na...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuondoa harufu mbaya kwenye unga wa Soya uliochanganywa na mahindi

    JF ndio kisima cha maarifa. Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2. Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba ana sifa ya umalaya, ulozi na wizi

    Jamaa yangu hajamaliza ujenzi kwake huko Madale. Kwa hiyo bado anaishi nyumba za kupanga. Juz juz hapa kahamia nyumba ya kupanga maeneo flani hivi. Anasema hakujua kuwa na mama mwenye nyumba naye anaishi kwenye compound hiyo hiyo maana mle ndani kuna nyumba 4. Kumbe moja wapo ndo ya mama mwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe una athari mbaya kwenye ubongo, utafiti wabaini

    Watafiti katika Chuo Kikuu cha Oxford wanasema hata unywaji kiasi wa pombe unahusishwa na kuenea zaidi kwa athari mbaya kwenye ubongo kuliko ilivyotambuliwa awali. Utafiti huo umebaini kwamba kiasi chochote cha unywaji wa pombe kinaweza kukuletea madhara kwenye ubongo wako. Utafi huo...
  20. JamiiForums Tanzania Nani atawasemea watanzania juu ya kadhia mbaya inayokuja kulikumba taifa letu?

    Alikuwepo Dk.Slaa huyu alikuwa na source of info za uhakika na zilikuwa zikimpa pasi mpenyezo lazima aibue madudu ya kifisadi ya uhakika. Ndio maana alikuwa anaishi maisha ya mashaka muda wote kabla hajalala lazima akague kama kuna tape recoder ili kubaini wanaomtrace. Zitto naye kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…