mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yasemekana Kuna Ajali Mbaya Imetokea Ikungi Singida

    Nasikia kuna ajali mbaya imetokea usiku huu huko Ikungi, tafadhali mlioko huko Ikungi tupeane habari, tuna ndugu wanasafiri usiku huu na hatuna mawasiliano nao, kuna ndugu amepita hapo ameona wasamaria wema wakijaribu kuwatoa wahanga kwenye hayo magari.
  2. JamiiForums Tanzania Irene mnigeria nisamehe Nimekupa mimba bila kutaka ni bahati mbaya

    Kama kawaida yetu wanaume! Kuna muda nilisema nimestaafu lakin mmm hakuna kustaafu Unakutana Na mtoto hadi unachanganyikiwa , Mwezi wa 2 nikiwa hapa jijini changi nikapita Hotel inaitwa Indulge Urbun Nikamuona demu Mrembo Sana yan ! Ni mnigeria nikaanza kumlia timing, Ilikuwa Jumapili...
  3. JamiiForums Tanzania CAG: Hali ya Magereza ni mbaya, wafungwa wanalala vyumba vya mabati, nyumba za maofisa nazo zimechoka

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa. “Hali mbaya zaidi ilibainika katika magereza ya kilimo ambapo wafungwa walikuwa wakilala katika vyumba...
  4. JamiiForums Tanzania Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

    .
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katika wakati huu wa hali ya uchumi duniani kuwa mbaya ni kuwa muangalifu sana

    Mzuka wanajamvi, Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako. Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa 'system disruptor', kwa bahati mbaya hakuimaliza kazi, kwa sasa hakuna tumaini tena

    Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine. JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ina Mikoa mingi ila ni kwanini Kihistoria Mkoa wa Morogoro una Urafiki wa Kudumu na wa Kiupendo kabisa na Ajali Mbaya tu nchini?

    R.I.P sana Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine uliyefia Morogoro njiani, R.I.P mno Marehemu Mjomba wangu Kipenzi Ian uliyefia njiani ukiwa unakuja kunipitia twende Kuiangalia Simba SC yetu, R.I.P wale Makomandoo Wawili mliofia njiani Morogoro, R.I.P Madereva wote wa Gari ndogo mnaokufa kila Uchao...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

    Wakuu Hali mbaya kwa Putin, Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu. "We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There has been particular demand for sugar". In the far eastern Maritime Region, supermarkets have imposed...
  10. JamiiForums Tanzania Nilimuonyesha US dollars kwa bahati mbaya nikasumbuliwa balaaa...

    Hayawi hayawi huwa! Katika harakati zangu za maisha ya kila siku mkeka bhana juzi kati si ukatiki!kwa buku 10 nikampiga muhindi 2,500,000(baada ya makato ya kodi). Maisha mafupi nikasema wacha nikajipongeze kidogo nichakaze hiyo laki 5 huku nikiwa nimeibadilisha hiyo 2M kuwa USD kwa sababu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

    Familia nyingi zina watu mizigo. Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai! (Yaani kama ni chakula basi hawafai kwa kulamba, kutafna au kulumangia). Na hizi tabia ngumu za wazazi...
  12. JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

    Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi. Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya. UPDATE: 1). Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Handeni: Ajali mbaya ya magari imetokea, wanne wafariki, mashuhuda wa ajali nao wapitiwa na Coaster

    Ajali mbaya imetokea Sindeni, Handeni mkoani Tanga usiku wa kuamkia leo, idadi ya vifo na majeruhi haijatajwa, usiku wa kuamkia lo Machi 16, 2022. “Coaster ilivamia Hiace ilivyokuwa imeharibika pembeni na kuwasomba abiria wote. Ajali ni mbaya kwa kweli,” amesema Siriel Mchembe, Mkuu wa Wilaya...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuliponya Taifa dhidi ya siasa za chuki na roho mbaya

    Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
  15. JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

    Habari Wana Jf wenzangu Kuna jambo limenikuta Jana, wakati wa mida saa 4 napita kutokea kwenye mishe zangu pembezoni mwa bar moja hivi maarufu hapa Dar nikaitwa na rafiki mmoja hivi wa kike ambaye sikuonana nae muda kidogo nikaenda tukaa pale. Binafsi sio mnywaji wa pombe tofauti na huyo dada...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

    Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine. Kadhalika kuna wanafunzi ambao wameamua kwenda kuishi kwa ndugu na jamaa zao huko Denmark, Slovakia na Sweden. Wanafunzi 11 wako...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hii series ni Kali ile mbaya lakini ipo underrated

    Habari Zenu, Katika utundu wa kutafuta series ya kuangalia kuna jamaa yangu mmoja akanirushia series moja ya Taiwan inaitwa DANGER ZONE CHAPTER 1: THE DARKNESS KNIGHT binafsi sio mpenzi wa movie au series zinazotoka Taiwan au za wafilipino lakini siku moja nikuwa Sina kitu Cha kufanya nikaona...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hujivunia sifa nzuri za kabila lao lakini kwenye sifa mbaya wanajitetea kwamba kila kabila lina hio sifa mbaya

    Sifa ya kabila flani hutumika pale kiwango cha kawaida na kilochozoeleka kikizidi kwenye kabila flani, mfano ni kawaida kukuta katika kila kabila kuna mtu moja kati ya 100 ana sifa fulani lakini kuna kabila fulani wamezidi hiki kiwango, unakuta wapo hata watu nane ama zaidi kati ya 100 wenye...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

    Hawa ndugu zetu wanapatikana wilaya za Kilosa, Morogoro na Kilolo, Iringa. Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma, Chief Mangungo. Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…