mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  2. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  3. JamiiForums Tanzania Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  4. JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya, mafuta ya upako yataniua

    Umechelewa uhondo umeisha
  5. JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipime katika hili kama wanatosha au laa!

    Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4. Nk...
  6. JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipima katika hili kama wanatosha au laa!

    Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4.Nk...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli mnazozitoa ni mbaya, acheni

    Mtu anakopa pesa halafu anasema hakuna mtanzania atakae gibgewa kodi kudaiwa deni, aise hiyo mikopo utalipwa na nani? Jitu linapandisha Gharama za nauli kutoka kiasi fulani mpaka kiasi fulani halafu unasema eti hakuna mtanzania ATASHINDWA KULIPA, wewe uko kwenye mifuko yetu au unatupa ruzuku ya...
  9. JamiiForums Tanzania Vatican: Papa Francis asema hali ya Papa Benedict XVI ni mbaya, aomba watu wamwombee

    Katika taarifa yake, Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki ameomba watu kumkumbuka katika Sala Maalumu ya kumtakia afya njema #PapaEmeritusBenedict ambaye alijuzulu Februari 2013. Benedict ambaye jina lake halisi ni Joseph Ratzinger alitangaza kuwa hali yake kiafya imetetereka na kuamua kuachia...
  10. JamiiForums Tanzania Mbinu kali za kibaharia za kumuumiza adui au mbaya wako

    Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka. 1. Kutoka kimapenzi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nchi imepita nyakati mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa Duniani. Tazama ujinga huu

    Sitasahau kama ilivyo kwa kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii. Kulifanyika mambo ya ajabu sana yaliyotudhalilisha Watanzania na yaliyolidhalilisha taifa. Kamwe tusirudie tena. Pichani: Maafisa vipenyo wakiwa kwenye moja ya migahawa ya Bunge wakipima ukubwa wa samaki aliyepikwa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni Waziri wa Bahati Mbaya kuwahi kutokea katika Wizara ya Michezo Tanzania

    Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup. Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
  13. JamiiForums Tanzania Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

    Dhana Mbaya ni Ile hali ya kuwafikiria wenzako vibaya juu ya Tabia zao au Matendo Yao Fulani pasina kuwa na ushahidi wowote ule. Hii ni dhambi miongoni mwa madhambi ambayo Kwa Mwenyezi Mungu ni makubwa mno, kibinadamu tunaweza kuchukulia ni jambo dogo lakini Kwa Mola wetu ni kubwa mno...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa na mwandiko mbaya ni ishara ya kuwa na akili nyingi?

    Juzi kuna barua nilipeleka kwa kiongozi fulani ili atie sahihi yake; kiukweli kila nikitizama mwandiko aliutumia hapa, naona ni kama amechafua barua yangu[emoji16] yaani kaandika shagarabagala kama vile mtu anajifunza kuandika kichina! (ningekuwa mwl ningesema huu ni uchafu) ndipo nimekumbuka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  17. T

    JamiiForums Tanzania AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO vipi lakini?

    Hivi kwa hizi mvua ninazoziona, mpaka mjini zinanyesha, huko milimani ndiyo itakuwaje? Yaani hapo ni tufanye mvua ndiyo sababu ya mito kujaa maji, maana yake vyanzo main ni chemchem. Kama ulikuwa umepanda maharage yako, tegemea kula kande. Ila TANESCO vipi lakini? Hivi kweli 2022 mnatufanyia...
  19. JamiiForums Tanzania Ramadhani Kayoko amelikataa goli la Kisinda kwa bahati mbaya TU?

    Mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City nilishangazwa kuona matendo ya Kayoko yakipingana na akili yake na hata Ile ya mshika kibendera wake wakati wa kulikataa goli zuri la Kisinda. Huwezi kufanya kama vile Bure Bure kabisa,
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa na Tabia Njema / Mbaya huwa ni Maamuzi ya Mtu binafsi

    Habari za Wakati Huu wakuu!! Nina Ushauri Mdogo kwa Wale wanaokatishwa kuingia Kwenye Mahusiano na Baadhi ya Makabila Eti Kisa Sifa flani ulizisikia kutoka kwenye hayo Makabila. Je,Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye Kabila lako/ ukoo wako ukazikosa hizo Tabia??? Kama MOYO wako Umempenda mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…