mbatia

James Francis Mbatia (born 10 June 1964) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and a nominated Member of Parliament since 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Brain Kingdom

    Je,Utawala wa Rais Hassan ndio Umemfitini James Mbatia NCCR-Mageuzi, je, Tanzania Mpya yenye uponyaji

    Hello JF Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa nchi yake. Ni ajabu kuona yaliyotokea juu ya nafasi yake ya uenyekiti wa NCCR Mageuzi katika...
  2. BARD AI

    Joseph Selasini aomba Mahakama imuongeze muda kesi ya kumlipa Mbatia Tsh. Bil 3

    Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bara, Joseph Selasinametoa ombi hilo katika Mahakama Kuu, Masjala kwa maelezo kuwa bado anakamilisha nyaraka za utetezi. Katika ya msingi namba 184/2022, Mbatia anaiomba Mahakama itamke kuwa tuhuma alizozitoa Selasini dhidi yake ni za uongo, na hivyo imwamuru...
  3. BARD AI

    Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi

    Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia. Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika...
  4. Sildenafil Citrate

    Mbatia amtaka Selasini kulipa fidia ya Tsh bilioni 3

    Mgororo wa uongozi ndani ya Chama cha NCCR- Mageuzi sasa unazidi kufukuta na sasa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia, kumtaka Kaimu mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini, amlipe fidia ya Sh3 bilioni kwa kile anachodai kuwa ni kumkashfu. Mbatia amefungua kesi hiyo dhidi ya...
  5. T

    Hashimu Rungwe: Tunamkaribisha sana Mbatia chauma tutamtafutia nafasi ila sio kuja kuwa mwenyekiti

    Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo. Ameenda mbali na kusema kama ni suala la kukaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa chama basi yeye...
  6. BARD AI

    Alichokisema CAG Kichere kuhusu Tsh. Trilioni 360 za TRAB na TRAT

    Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonyesha kuwapo kodi zilizoshikiliwa katika mahakama za rufani kwa muda mrefu Sh...
  7. J

    Shujaa Magufuli hayupo lakini Zitto analialia, Ruge analialia na Mbatia analialia. Mtanikumbuka!

    Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi. Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu" Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
  8. W

    Mbatia Hakubaliki kila kona, jitihada za kujitetea zimegonga mwamba

    Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari. Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
  9. Monica Mgeni

    Kilichomkuta MBATIA katika picha

    Funguka tafsiri yako kuhusu hizi Katuni tuone nani ana tafsiri sahihi iliyolengwa na mchoraji Said Michael
  10. Idugunde

    Kumvua uanachama Mbatia ni batili sababu kuna zuio la mahakama kwa upande wa wanaompinga

  11. Idugunde

    Mahakama yampiga stop Joseph Selasini na wenzake. Mbatia anazidi kupeta

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama hicho. Kama Mahakama haitaweka zuio la vikao kufanyika, hapatakuwa na maana ya maombi haya kuwepo...
  12. Idugunde

    Picha: James Mbatia yupo makini kuliko Mbowe

  13. Idugunde

    James Mbatia amtembela Majaliwa ofisi ndogo ya waziri mkuu Magogoni

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
  14. M

    Martha Chiromba: Nilitukanwa matusi yote ya duniani na vijana wa Mbatia mpaka mshono wa operation ukatatuka nusu

    Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama. VIDEO: Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi', amtupia lawama James Mbatia kwa kuona udhalilishaji huo na kisha kukaa kimya licha ya taarifa kupewa.
  15. Idugunde

    CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI” Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
  16. Suley2019

    Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

    Picha: Joseph Selasini Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena" Joseph...
  17. M

    James Mbatia Kusimamishwa NCCR Mageuzi, Mrema anasemaje? Mbatia alihusika kumtoa Mrema NCCR, isije ikawa anavuna alichopanda!

    Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
  18. M

    Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

    Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
  19. J

    NCCR Mageuzi, Mwenyekiti Mbatia na Katibu Mkuu Komu ni CHADEMA-B

    Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee Selasini sasa ni rasmi CHADEMA-B
  20. Nyankurungu2020

    Ina maana Rais Samia hamtaki Mbatia na anataka wapinzani wataokuwa wakisema yes kwa kila jambo? Rais wa chama tawala anapanga safu ya wapinzani?

    Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu. Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma. Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi. Kwa hali hii kumbe rais...
Back
Top Bottom