mbatia

James Francis Mbatia (born 10 June 1964) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and a nominated Member of Parliament since 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    James Mbatia: Kwanini wanaokosoa tu ndiyo wanaonekana wabaya?

    James Mbatia, mwanasiasa mkongwe wa Tanzania, ametoa kauli nzito kuhusu hali ya kisiasa na namna watu wenye mawazo tofauti wanavyotazamwa vibaya na mfumo wa serikali. Katika mahojiano ya hivi karibuni, amesisitiza kuwa “kuwa na mawazo tofauti si uasi – ni msingi wa demokrasia ya kweli.” Kauli...
  2. K

    Tanzania ni nchi ngumu ukiwa Mzalendo. Mbatia, Lissu na wengine Mungu atamuongoza kwa uzalendo

    Mbatia ni mfano wa uzalendo. Ukikaa kuhogwa watachukuwa kila kitu ulichonacho!!!. Tanzania ni pagumu kwa watu wazalendo kama Mbatia na Lissu. Lakini machawa kwa upande mwingine na wala rushwa au kwa wale waliokuwali kuhogwa kama Chaumma ndiyo wanapewa pesa. Tushukuru tuna wazalendo wachache...
  3. DuaZaMama

    James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  4. DuaZaMama

    James Mbatia: Yanayofanyika na akina Polepole na Gwajima ni baraka kwa taifa

    Mwenyekiti wa wa zamani wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema yanayofanyika na akina Polepole, Gwajima na wengine ni baraka ndani taifa letu, hali inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari kwa taifa letu.
  5. DuaZaMama

    James Mbatia: Upinzani wa fikra sio uadui

    Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
  6. JanguKamaJangu

    James Mbatia: Hakukuwa na haja ya Polisi kutumia nguvu Kanisani kwa Gwajima, si wangemuita tu

    Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu. Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
  7. JanguKamaJangu

    PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

    Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi...
  8. W

    James Mbatia ahoji kulikuwa na haja gani ya kumfuata Askofu Gwajima kwa mitutu ya bunduki na Polisi?

    James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu. "Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke...
  9. W

    James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  10. Roving Journalist

    PreGE2025 James Mbatia: Migogoro inayoendelea nchini inatupeleka pabaya

    https://www.youtube.com/watch?v=iuttjJJLxG0 Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa yake aliyokata dhidi ya chama cha NCCR Mageuzi. Ameanza kwa kueleza kuwa amepanga kuzungumzia migogoro...
  11. R

    Kesi ya Mbatia imenitia matumaini kidogo kuwa some judges kuwa independent

    Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa! Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%! Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
  12. Carlos The Jackal

    Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  13. Parabolic

    Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake. Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi uliofanyika Septemba 24, 2022, ambapo pia ulimvua uanacama...
  14. Mpwayungu Village

    Yupo wapi James Mbatia ukimya wake unaleta sintofahamu

    Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media. Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa bungeni na wasiojitambua angekuwa kawapa vidonge vyao ila no any information about him Je, yu Wapi Mbatia...
  15. Gabeji

    Tundu Lissu nakushauli uungane na Mwabukusi, James Mbatia na Dr Slaaa mwanzishe CHAMA kipya

    Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa na ubinafsi uliozidi. Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema. Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali...
  16. Tlaatlaah

    Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  17. Mjanja M1

    Video: Mbatia aitaka serikali iweke wazi msimamo wake kuhusu Ushoga

    Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji. Mbatia amesema, "Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia...
  18. Nehemia Kilave

    Nadhani kama Mbatia ,Mnyika na Lissu wataunda Chama basi hiki ndicho kitakuwa Chama halisi cha Upinzani

    Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania . Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
  19. R

    Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

    Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake! Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote...
  20. J

    Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
Back
Top Bottom