mbaroni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  2. Marekani: Maafisa wa Federal Agents Wavunja Gari na Kumvuta Mwanamke Mlemavu kwa Nguvu na Kumtia Mbaroni

    Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni mwenye ulemavu, wakati wakimtia mbaroni. Tukio hilo limetokea umbali wa mabawa machache tu kutoka pale...
  3. Watiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwatapeli kimapenzi 'mishangazi' mtandaoni

    Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani. Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
  4. PostGE2025 Polisi Mwanza: Limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu maandamno ya Desemba 9

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani. Akizungumza na Wanahabari, Desemba 6, 2025 katika kituo kikuu cha Polisi kilichopo...
  5. Watano watiwa mbaroni Tabora kwa njama za kuleta vurugu Oktoba 29

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata na kuwashikilia watu watano kwa tuhuma za kupanga njama za kuleta vurugu ikiwemo kuchoma moto vituo vya mafuta, vituo vya mabasi, ofisi za CCM na nyumba za watumishi wa serikali mkoani humo siku ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025. Taarifa hiyo...
  6. Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu katika operesheni zilizofanyika katika maeneo...
  7. GE2025 Viongozi wa CHADEMA mbaroni kwa kuchana mabango ya CCM

    Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...
  8. R

    Watu 50 Mbaroni wakituhumiwa kuchoma Msitu wa hifadhi, kufanya vurugu

    Watu 50 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kuchoma hifadhi ya msitu na kufanya vurugu. Katika taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 15, 2025 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Adam Maro imeeleza watu hao wanadaiwa kuwashambulia maofisa misitu wanne, kuharibu mali...
  9. Watu wawili Mbaroni kwa wizi wa Tsh. milioni 105 Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika msako uliofanyika mwishoni mwa Julai na mapema Agosti 2025. Tukio la kwanza lilitokea Julai 27, 2025...
  10. R

    Morogoro: Watu 21 mbaroni kwa tuhuma za wizi Mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli na wizi wa kimtandao maarufu ‘halo halo’, katika operesheni maalumu iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Alex Mkama Julai...
  11. Wahamiaji haramu zaidi ya 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia

    Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia. Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini...
  12. Mama mbaroni kwa kumuua mwanaye wa miezi saba

    wakuu ====== kuna watu wana roho mbaya sana imagine unamwua malaika kuna dhambi hazina msamaha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Zuhura Juma Matengo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa miezi saba aitwaye Shufaa Abdallah, na kujeruhi watu wengine wawili waliofahamika kwa...
  13. U

    Serikali ya Iran yawanasa na kuwaweka mbaroni wairan.700 kwa kushirikiana na Mossad wakati wa mapigano ya siku 12 na Israel

    Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says By Reuters and ToI Staff Today, 7:30 am Share 1 Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel during the 12-day conflict, the state-affiliated Nournews reports. Iran has executed a number of...
  14. Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

    Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13. Taarifa fupi ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na kaimu RPC,kamishna msaidizi wa jeshi la polisi(ACP),Abel mtagwa...
  15. SI KWELI PreGE2025 Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya

    Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya Taarifa kamili inafuatiliwa kwa kina na Watanzania waishio Marekani, inawezekana inachelewa kwasababu Roma sio msanii maarufu Marekani hivyo basi ili kupata taarifa zake inalazimu Watanzania waishio Marekani wafuatilie kwa...
  16. Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Emmanuel Sulwa Mapana akiwa na sare za Jeshi zenye cheo cha Luteni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni. Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
  17. Shinyanga: Mbaroni akidaiwa kumuua mama yake mzazi na kufika mwili shambani

    Polisi Mkoa wa Shinyanga limefukua mwili wa Asha Mayenga (62), mkazi wa Lugela, Kata ya Nyamhanga, Manispaa ya Kahama uliofukiwa shambani, baada ya kutoweka kwa siku tano. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa, Januari 17, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi, amesema mwili...
  18. R

    Wawili mbaroni Kwa kupanga njama za kumroga Rais.

    Polisi inawashikilia watu wawili Kwa kupanga njama za kumdhuru Rais wa Zambia, Haikande Hichilema Kwa njia za ushirikina. Watuhumiwa hao ni Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri wanaodaiwa kutumwa na Nelson Banda,mdogo wa mbunge anayekabiliwa na tuhuma za wizi Jay Jay Banda kumroga...
  19. Watu wanne mbaroni wakidaiwa kuhujumu miuondombinu ya Tanesco na SGR

    Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Shirika la Reli Tanzania (TRC). Mara kadhaa TRC imekuwa ikieleza kuwapo kwa baadhi ya watu wanaokula njama za kuharibu miundombinu ili kuzorotesha usafiri wa...
  20. Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Kusini (SAFA) Mbaroni kwa Kutumia Pesa za Shirikisho Kujinufaisha Binafsi

    Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) Danny Jordaan amekamatwa kufuatia madai ya kutumia pesa za Shirikisho hilo kujinufaisha binafsi, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Jordaan, ambaye alichukua jukumu kubwa katika kuandaa Kombe la Dunia la 2010 nchini Afrika Kusini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…