mbao

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mbao za Mti pori

    Kama unahitaji Mbao Ngumu za mti pori kwa jumla na rejareja karibu tukuhudumie tunazo za kutosha size ni 2x10x10. Piga number 0767549000.karibuni
  2. F

    JamiiForums Tanzania NAKODISHA ENEO LA BIASHARA YA HARDWARE NA VIFAA VYAKE .ie Godown, machine za blocks, office, sehemu ya mbao.

  3. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Picha Mbao

    Karibu 👋🏻 Tuna design na Kuprint ✅Picha,saa za ukutani,picha za frame ✅Vikombe,glass,travel mugs ✅Label stickers, logo, poster, flyers ✅Tunaprint tshirt za sare,vikundi nk. mawasiliano. KARIBUNI SANA Tunapatikana Temeke
  4. JamiiForums Tanzania PICHA MBAO - Kumbukumbu Zitakazodumu Milele! 🖼️✨

    Je, unatafuta zawadi ya kipekee au mapambo ya ukuta yatakayoboresha nafasi yako? Tunachapisha picha zako pendwa kwenye mbao zenye ubora wa hali ya juu Ubora : Picha zako zinaonekana hai na za kuvutia kwenye mbao asilia. Zawadi Pekee: Kamilifu kwa harusi, siku za kuzaliwa, au kumbukumbu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya restaurant, pub na vya kawaida kwa kutumia mbao ngumu ...

    Boss wangu Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti.. Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya restaurant, pub na vya kawaida kwa kutumia mbao ngumu.

    Boss wangu Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti.. Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya restaurant,pub na vya kawaida kwa kutumia mbao ngumu

    Boss wangu Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti.. Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao za Miti aina ya Pines: Njoo ujifunze toka Miti inanunuliwa mpaka Mbao zinamfikia mtumiaji wa mwisho

    Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf. Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine. Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho. Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  12. JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  14. JamiiForums Tanzania Nipo Dodoma, nauza mbao kwa bei nafuu

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (12Ft) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  15. JamiiForums Tanzania Nauza Mbao kwa bei rahisi ndani ya Dodoma

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  17. JamiiForums Tanzania Mafundi nisaidieni hichi kitanda ninunue mbao ngapi za mninga?

    Habari zenu? Wakuu nisaidieni hapa nahitaji kupunguza gharama, hichi kitanda mafundi wananitaji bei kubwa sana. Hivyo nimeona ili kupunguza gharama ni bora nikanunue mbao mwenyewe, fundi nitakubaliana naye matengenezo tu vifaa vingine vyote juu yangu. Wajuzi nisaidieni hapo ninunue mbao ngapi...
  18. JamiiForums Tanzania Pochi na mikoba ya mbao

  19. D

    JamiiForums Tanzania Nafanya biashara ya mbao za pines Njombe, na udalali wa miti

    MBAO.. Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni pines,, anaweza kunicheki kwa namba 0657765168 nipo njombe mjini.. BEI ya shambani.
  20. JamiiForums Tanzania Pallets ya mbao za plastiki

    Habari, Tunayo furaha kuwajulisha kuwa Kampuni ya Zanrec Recycling Company inatengeneza pallets kwa kutumia mbao za plastiki. Hizi ni pallets imara na hudumu kwa miaka mingi kama ilivyo plastiki. Pallets hizi hubeba hadi tani 1.5 na hutumika kwa matumizi mbalimbali, ikiwemo kubebea mizigo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…