mbao

  1. N

    Nauza mashine za kulanda na kuchana mbao

    Mashine mpya kutoka China Inch 12 million 3.5 na inchi 16 million 4.8. Zina kazi tofauti ikiwemo kulanda, kuchana, kutoboa n.k Piga 0626751473. Mbezi mwisho- barabara ya makabe Dar es salaam
  2. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  3. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

  4. MaduhuJ

  5. M

    Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

    wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
  6. Northern Lights

    Mbao za kuezekea

    sina uzoefu na masuala ya ujenzi, sasa nimefikia hatua ya kupaua nawaza mbao nzuri za kuezekea ni zipi? Nimesikia kule bugurun baadhi wanapaka cola badala ya dawa. Ntahakikishaje mbao nayonunua ni treated? Asanteni kwa msaada. Nyumba ipo goba na nimepanga kupaua januari
  7. ze-dudu

    Naomba kumjua mbunifu wa hizi mbao hapa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro

    Ubunifu wake unavutia sana hapo kileleni
  8. Analogia Malenga

    Wakutwa wakiiba mbao za bango la CCM, mmoja asema hawezi kuacha kuiba

    Angalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
  9. 05CUBA

    Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

    Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo...
  10. B

    Vibanda vya mbao (board) kwa wafanyabiashara biashara

    Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu.. 0692477610 Bei hutegemea na ukubwa unaotaka boss inaanzia laki 8.. Milion 1 na laki 8 na Milion 2 na nusu
  11. kavulata

    ACT -Wazalendo kwa Mpina walikumbatia mzinga wa nyuki wakidhani ni gogo la mbao ngumu.

    Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Lowassa, Sumaye, Lamwai, Mpina, Membe). Iko hiviii!! Kule CCM huwezi...
  12. R

    Mbao za mnazi zinauzwa

    Mbao za mti wa mnazi 2*4 futi 3 zinauzwa bei ni 8000. Zipo Tuangoma.
  13. R

    Mbao za mnazi zinauzwa

    Mbao za mti wa mnazi 2*4 futi 3 zinauzwa bei ni 8000. Zipo Tuangoma.
  14. SlimFit

    Kero: Mdudu mla mbao juu ya dari dawa yake ni nini?

    Ndugu zangu habari ya usiku? Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao wadudu wanapiga kelele hatari wakiwa wanakula hizo mbao. Nimejaribu mara kadhaa kupanda huko juu kuona...
  15. C

    Mbao za Mti pori

    Kama unahitaji Mbao Ngumu za mti pori kwa jumla na rejareja karibu tukuhudumie tunazo za kutosha size ni 2x10x10. Piga number 0767549000.karibuni
  16. F

    NAKODISHA ENEO LA BIASHARA YA HARDWARE NA VIFAA VYAKE .ie Godown, machine za blocks, office, sehemu ya mbao.

  17. Foffana

    Tunatengeneza Picha Mbao

    Karibu 👋🏻 Tuna design na Kuprint ✅Picha,saa za ukutani,picha za frame ✅Vikombe,glass,travel mugs ✅Label stickers, logo, poster, flyers ✅Tunaprint tshirt za sare,vikundi nk. mawasiliano. KARIBUNI SANA Tunapatikana Temeke
  18. Foffana

    PICHA MBAO - Kumbukumbu Zitakazodumu Milele! 🖼️✨

    Je, unatafuta zawadi ya kipekee au mapambo ya ukuta yatakayoboresha nafasi yako? Tunachapisha picha zako pendwa kwenye mbao zenye ubora wa hali ya juu Ubora : Picha zako zinaonekana hai na za kuvutia kwenye mbao asilia. Zawadi Pekee: Kamilifu kwa harusi, siku za kuzaliwa, au kumbukumbu...
  19. B

    Tunatengeneza vibanda vya restaurant, pub na vya kawaida kwa kutumia mbao ngumu ...

    Boss wangu Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti.. Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea...
  20. B

    Tunatengeneza vibanda vya restaurant, pub na vya kawaida kwa kutumia mbao ngumu.

Back
Top Bottom