GTs,
Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija?
Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona...