mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam tarehe 18 Februari 2025 Madhumuni ya mazungumzo hayo yalikuwa...
  2. Ojuolegbha

    Waziri Kombo afanya mazungumzo na Prof Jeffrey wa Chuo Kikuu cha Columbia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Prof. Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia cha nchini Marekani pembezoni mwa Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika leo tarehe 16 Februari, 2025...
  3. Just Pray

    Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  4. MBOKA NA NGAI

    Mazungumzo na M23 hayatakaa yatokee

    Lambert MENDE, aliwahi kusema haya: https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920 Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya kipekee: Ni kwamba, miaka ya nyuma mpaka hapa tulipo, makosa yalifanyika. Kuamini kwamba tunaweza...
  5. VERITE-NUE

    Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  6. Alvin_255

    Tetesi: Kinshasa yatuma hati ya kumpinga Umoja wa Afrika (AU) baada ya mazungumzo kuhusu M23

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
  7. R

    John Mnyika; upo umuhimu waliombwa wimbo wa BERNAD MUKASA unaoitwa NGUVU YA MAZUNGUMZO kabla ya kupigwa kura mkutano mkuu

    Natambua kwamba wapo wagombea wasiotaka kushindwa ndani ya chadema. Wanaweza wakawa upande wa Mbowe na wengine upande wa Kisu. Ili kuwatakia safari njema nje ya CHADEMA na kuwafanya watafakari vyema kabla yakuanza safari nyingine nje ya CHADEMA nakushauri uitekeleze wajibu wako kwa kumwelekeza...
  8. K

    Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
  9. Crocodiletooth

    Kwa mazungumzo ya Jana ya mbowe clouds TV, mbowe amegeuza upepo, ushindi kwake ni dhahiri

    Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha...
  10. Ritz

    Netanyahu kashindwa kuwarudisha mateka kaanzisha mazungumzo na Hamas kuwarudisha mateka.

    Wanakumbi. Benjamin Netanyahu aliidhinisha mazungumzo ya Israel, ikiwa ni pamoja na Mossad na maafisa wa kijeshi, kuendelea na mazungumzo nchini Qatar na Hamas ili kupata makubaliano ya kuachiliwa kwa mateka walioko Gaza. Baada ya kushindwa kuwapata mateka amebidi akubaliane na Hamas, katema...
  11. Mtoa Taarifa

    Apple yakubali kulipa faini ya Tsh. Bilioni 235.12 baada ya mfumo wa 'Siri' kubainika kusikiliza mazungumzo ya Wateja kwa siri

    Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri. Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
  12. chiembe

    Dk. Lwaitama ahoji, kama Lissu anasema hataki maridhiano, je anataka kuchukua silaha kupambana na serikali? Asisitiza umuhimu wa mazungumzo ya vyama

    Dk. Lwaitama, moja kati ya nguli wa zamani pale UDSM ameshangazwa na msimamo wa Lissu kwamba hataki kuzungumza au kuridhiana na yeyote. Katika moja ya makala zake, mzee wa maswali magumu Ansbert Gurumo, katika moja ya makala zake, alisema kwamba Lissu ni Mwanasiasa ambaye anaweza kutoa kauli...
  13. Mejasoko

    Nauza photocopy machine xerox 7220 kama screpa bei 500k, mazungumzo yapo.

    Shida yake ni moto tu inajiwasha na kujizima. Muonekano wake ni kama hapo pichani.
  14. Waufukweni

    Rais wa Raja Athletic afanya mazungumzo Miguel Ángel Gamondi

    Rais wa klabu ya Raja Club Athletic amekutana mara mbili na kocha mwenye uzoefu wa Argentina, Miguel Ángel Gamondi, ambaye kwa sasa anaonekana kuwa chaguo bora zaidi kwa nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo. Hata hivyo, bado hawajafikia makubaliano rasmi kutokana na baadhi ya masharti ambayo...
  15. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  16. Patriot missile

    PICHA: Miamba ya Upinzani yenye misimamo isiyoyumba hata nukta moja yakutana kwaajili ya mazungumzo juu ya hatma ya CHADEMA na WanaChadema

    Taifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
  17. U

    Putin asema Urusi ipo tayari kwa mazungumzo kuhusu Ukraine

    Putin pia amesema kuwa Urusi iko tayari kwa mazungumzo na maridhiano kuhusu Ukraine, lakini inahitaji upande wa pili uwe tayari pia. Aidha, alionyesha utayari wa kukutana "wakati wowote" na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, ambaye ameahidi kufanikisha mkataba wa amani wa Ukraine mara baada...
  18. Ojuolegbha

    Waziri Kombo afanya mazungumzo na Rais wa Somalia

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SOMALIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kufuatia mwaliko wa Rais huyo yaliyofanyika...
  19. B

    Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  20. B

    Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

    Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi. Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Back
Top Bottom