mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC nasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  2. JamiiForums Tanzania Wamechelewa kuanza Mazoezi ya Pre Season ila leo wamekipiga kwa Mkaburu, na tuliowatangulia Kutwa tunacheza Mechi Mazoezi tu huko wa Farao

    Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu...
  3. JamiiForums Tanzania Tuliitumia CECAFA kutambulisha wachezaji na kufanya mazoezi

    Salaam watu wa soka Baada ya timu yetu Singida Black Stars kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA kwa kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili, maswali yamekuwa mengi mno. Tulisema mapema tunaenda kwenye mashindano haya kwa lengo la kujaribu wachezaji ikiwa ni mpango wa mwalimu. Ndio maana...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya mazoezi vinauzwa

    Plates 7.5 kg x 4 5kg x 4 2.5 kg x 4 Barbell 1.5 m Dumbbells bars x 2 Gharama 300k
  5. JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  6. C

    JamiiForums Tanzania msemaji wa singida black stars: tunashiriki cecafa kama mazoezi tu na tumepata uwanja wa avic town japo tunasubiri pia kuutumia wa bunju

    kumbe vilabu huwa vinaenda kushiriki mashindano ya kimataifa kama tu mazoezi na siyo kushindana kuwa bingwa? kazi ipo hakyanani...!!
  7. JamiiForums Tanzania Faida za kutoka jasho kwa mazoezi au kazi ngumu

    Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa. Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Omary Ubuguyu: Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili

    Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili Mazoezi pia huupa Mwili uwezo wa kutumia Sukari iliyo ndani ya Mwili na kujenga Misuli
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Fanyeni mazoezi ya mara kwa mara ili kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy alitoa wito huo Januari 13, 2024 alipokuwa katika moja ya maduka ya vifaa vya michezo la ‘Just fit’ lililopo Jijini...
  10. JamiiForums Tanzania Ulipuaji mabomu wakati wa mazoezi ya kijeshi unaofanywa na polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU manispaa ya Musoma udhibitiwe ni hatari kwa afya za w

    Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Duka la vifaa vya mazoezi (gym equips) kwa Morogoro

    Peace, Wakuu kwa hapo je Moro kuna maduka ya vifaa vya mazoezi nahitaji kumnunulia mtu vifaa basic kwa ajili ya home workout kama vile bench press, dambells na tredmil. Mimi niko Mwanza maduka hapa ni mengi hata Dar pia maduka ni mengi sana changamoto kusafirisha vifaa vya mazoezi ni gharama...
  12. JamiiForums Tanzania Mazoezi rahisi yakujenga uwezo wa kumbukumbu

    Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku. Namna ya kukumbuka ndoto. Je unaota ndoto na unasahau?. Fanya meditation ya Namba. Watu wengi wamekuwa wakiota ndoto na pale wanapoaamka hawakumbuki walichoota. Sasa unaweza kurudisha...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Watu wa Gym haya ni mazoezi gani na yanasaidia nini?

    Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yafunguliwa kwa mazoezi ya kukimbia

    Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi. Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

    Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

    Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare. Ila...
  18. JamiiForums Tanzania Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

    Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya. Sasa squat sasaivi napiga uzito hadi Kg.150, Mimi mwenyewe nna Kg.80 urefu cm160. Je, Wataalamu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

    Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia. Kwenu wadau. cc...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni msafara Wa viongozi au mazoezi ya Msafara?

    Mwaka 2021 nilishangaa Msafara Wa Waziri Mkuu ulivyokuwa haujapangiliwa vizuri na nikasema ule ulikuwa ni upotevu Wa Hela za umma. - Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu? Leo Tena nimeshuhudia magari ya serikali yakiwa kwenye Msafara mji mdogo Wa Ifakara. Magari hayo yalipofika kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…